Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Anajaribu mkuu.Relief Mirzska leo Saka kawekwa LB.
Arteta kama siyo anafanya makusudi basi hajui anachofanyaView attachment 1779028
Leo nimesoma article flani inazungumzia watu wote walio kwenye decision making position pale arsenal kuwa ni immature when it comes to managing a football club.
Yaani arsenal imekuwa sehemu ya watu kujifunzia management. Edu is immature kwenye position yake, vinai is immature kwenye position yake, arteta is immature kwenye position yake hivyo hivyo kocha wa vijana (Mertesacker) is immature kwenye position yake.
Edu ni mshenzi tu, kwanza he is not even a legend pale arsenal

