Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakumbuka, lakini tumekuwa na bad lucky pia several times. VAR pamoja na referees wamekuwa wakituumiza kwenye maamuzi kadhaa.

All in all pamoja na yale makosa binafsi ya wachezaji kama vile kusababisha magoli, kupata red cards na kukosa clear chances, Arteta hatoshi kwenye kile kiti.

Given the same resources under the same league, any other average Manager could do better than him. Teams like Leicester, Westham, and Villa are good examples.

Katika yote hayo yaani Arteta kashindwa kumtoa Villareal na kutinga final?! Nafasi ambayo ingetupa chance ya kujaribu kurudi Uefa in a short cut way.

Nadhani katika msimu mzima alipaswa kuonesha uwezo wake wote (kama anao) katika situation ya namna hii. Hii pia inge garantee kibarua chake next season and may be beyond. Kitendo cha kufeli hapa ni ushahidi tosha kwamba he has nothing left in his locker.
Believe me bro, some major decisions concerning the club were made wrongly. Japo ambalo hata amateur asingefanya. Mtu kama Castr tu namna alivyopigia kelele hapa jukwaani kuhusu issue ya Aouar VS partey basi aliona mbali iwe yeye anaejiita Guardiola mdogo?? Decision ya kumuondoa Torreira, really?? Msimu aliokuwa nao under Unai mpaka akawa one of the best DM duniani ndani ya 1 season halafu yeye anakuja kumuondoa kirahisi tu inashangaza kwa kweli.

Akampa nafasi Willock weeeeeeeeeè jambo ambalo hata mere fan tu angeona hiki ni kimeo.

Issue ya Ozil ilikuwa ni financial zaidi, tukasemaaaaaaa weeeee humu mpaka tukagombana. Mimi mpaka Leo hutaona sehemu nimem-quote Aaron kwa sababu ya timu. Nashangazwa ni wapi wadau mlikuwa hamuoni. Kila mtu alikuwa akimchukulia computerarsenal kama ana jazba lakini alikuwa na hoja.

Sasa niwaambie, tatizo kuu ni Edu kudaadeki. Ndio tajiri ana matatizo na hata mimi simtaki lakin matatizo ya tajiri siyo yanayosababisha timu ikawa vile jamani. Labda matatizo ya tajiri yanatufanya tusiweze chukua kombe lakini sio yanayofanya tuwe nafasi ya 17 huko. Matatizo ya tajiri siyo yanayofanya stage zote za mtoano Europa tupite kwa bahati bahati. Hatushindi mechi zote mbili, Villareal anatutoa kweli??? Haiwezekani matatizo ya tajiri eti yatufanye tushindwe na west ham au Everton au Leicester jamani.
 
Hichi kibonde chetu inawezekana kesho kikafurukuta maana kipo kwenye run nzuri sasa ili kukomeshana nashauri tuumize angalau wachezaji wao 6 ili wasichukue UEFA.

Maana dah... Anyway, seriously hizi mechi zilizobaki hazina maana kwa Arsenal hii ni kwakua zinahitaji uziombee timu zaidi ya 5 zilizo juu yako zipoteze mechi zilizobaki which will be weird.

That shit happens na bodi lazima itakagua kuona kama kuna upangaji matokeo.

Timu imeshindwa kuturn up muda ambao tulihitaji haswa matokeo. Members nikawa nawaambia ni ngumu kushinda kama timu haina watu wenye akili ya kwenda mbele. Zamani ilikua Rosicky au Cazorla akiunasa mpira waliobaki wenyewe wanajitanguliza mbele kwakua wanajua huyu mtu hapa hasimami analifuata box la mpinzani.

Sasa hivi hakuna mchezaji mwenye akili hiyo Guendouzi anajaribu kua hivyo lakini kuna vitu hana na hua navisema kila siku. Sasa hivi mid nzima ni pasi chini na pembeni sasa chelsea wana speed na wanafanya fluid movement kwahiyo hizo pasi za chini kwa kipa na za pembeni zitanaswa sana.

Ila tungekua na wachezaji watatu wenye uwezo wa kusonga mbele huku wanafanya one two ingekua mechi haifikirishi kwakua wao wanacheza 3 4 1 2 so thru balls na kaunta zingewamaliza.

Now kama Arteta anaweza watrain wachezaji hicho kitu leo wakakimaster kwa ajili ya kesho itakua sawa sana
 
On top of Leno, Arsenal are expected to listen to offers for Hector Bellerin, Lucas Torreira, Matteo Guendouzi, Ainsley Maitland-Niles and Sead Kolasinac, while there are hopes that they can convince Stuttgart to turn Dinos Mavropanos' loan into a permanent deal.
 
Sorry mkuu, sikuona post yako kwa wakati. Sio kwamba tulikuwa hatuoni bali tulikuwa tunajaribu kuonesha kuwa tatizo la msingi sio kocha, bali kocha amerithi matatizo toka kwa Emery ambaye naye alirithishwa na Wenger ambaye naye alitengenezewa na wamiliki.

Issue za transfers kutoleta matokeo siwezi sema ni down to a single person, hata tungempata Aouar nadhani kusingekuwa na nafuu kwa hali ilivyo.
Believe me bro, some major decisions concerning the club were made wrongly. Japo ambalo hata amateur asingefanya. Mtu kama Castr tu namna alivyopigia kelele hapa jukwaani kuhusu issue ya Aouar VS partey basi aliona mbali iwe yeye anaejiita Guardiola mdogo?? Decision ya kumuondoa Torreira, really?? Msimu aliokuwa nao under Unai mpaka akawa one of the best DM duniani ndani ya 1 season halafu yeye anakuja kumuondoa kirahisi tu inashangaza kwa kweli.
Kama kina Auba, Willian et al walikuwa wanastruggle kiasi kile, kumlaumu Willock ni kumuonea bure. By the way umemfatilia Willock kule Newcastle? Ameimprove sn naona Steve Bruce anamtaka permanently.
Akampa nafasi Willock weeeeeeeeeè jambo ambalo hata mere fan tu angeona hiki ni kimeo.
Issue ya Ozil nadhani me sina cha kuongezea, alikuwepo years na tulipokuwa na poor perfomance yeye ndio mara zote alikuwa 'weak link'. Hata huko alipoenda ni league ndogo ila unaona alicho kifanya.

Hatuzuii watu kukosoa/kulaumu lakini sidhani kama ni jambo jema kuungana na mtu anayelaumu mtu asiye husika.
Issue ya Ozil ilikuwa ni financial zaidi, tukasemaaaaaaa weeeee humu mpaka tukagombana. Mimi mpaka Leo hutaona sehemu nimem-quote Aaron kwa sababu ya timu. Nashangazwa ni wapi wadau mlikuwa hamuoni. Kila mtu alikuwa akimchukulia computerarsenal kama ana jazba lakini alikuwa na hoja.
Binafsi lawama zote nashusha kwa tajiri. Haya yote ya kuweka kina Edu pale, Vinai, Arteta na board isiyo na watu wenye uzoefu na mambo ya soka ni maamuzi yake tajiri, how comes unamtetea?

Nimeeleza huko juu club imetumia £431m kusajili tangu 2013, ni kiasi kikubwa ikiwa tumezidiwa na only Man city, United, Barca na PSG lakini kutokana na kutokuwa na watu sahihi kwenye maeneo husika, timu imefikia hapa ilipo.

Huku club ikiwa hoi inahangaika kuingia top ten ya Epl, eti tajiri anasign makubaliano kuipeleka European Super League kwa tamaa zake za fedha. Hivi hii Arsenal inayopigwa nje ndani na kina Aston Villa kule unaenda kufanya nini?
Sasa niwaambie, tatizo kuu ni Edu kudaadeki. Ndio tajiri ana matatizo na hata mimi simtaki lakin matatizo ya tajiri siyo yanayosababisha timu ikawa vile jamani. Labda matatizo ya tajiri yanatufanya tusiweze chukua kombe lakini sio yanayofanya tuwe nafasi ya 17 huko. Matatizo ya tajiri siyo yanayofanya stage zote za mtoano Europa tupite kwa bahati bahati. Hatushindi mechi zote mbili, Villareal anatutoa kweli??? Haiwezekani matatizo ya tajiri eti yatufanye tushindwe na west ham au Everton au Leicester jamani.

Ndio maana Arteta hata simlaumu bali ajilaumu mwenyewe kwa kushindwa kuonesha kuwa anastahili kukalia 'hot seat'. Amepewa 'golden chance' kuongoza club kama Arsenal na 'ametapika' mwenyewe.
 
Unaona online kwamba Arsenal inamuwania Konate, CB.

Nashangaa ujue kwakua Arsenal tuna

Gabriel, Mari, Rob, Saliba, Mavropanos, Chambers na David.

LB? Tierney na Sead na binafsi naamini Sead ni material ya CB.

RB? Hector na Soares.

Fabrizio aliripoti kwamba Arsenal watanunua RB iwe isiwe which is sahihi considering Hector anaondoka.

So kiukweli tunahitaji RB/ RM na LB/ LM hapo kati ni inatosha sasa.

Timu ikiwa na mabeki wawili world class, viungo wawili world class, winga mmoja na straika mmoja world class hiyo timu inaingia uwanjani na yeyote.

Ngoja tulione dirisha.
 
Bado naamini timu ilihitaji AM kwakua kuna CDM wawili, Xhaka na Elneny na tuna CB wengi. CB kua CDM siyo jambo geni, wengine hadi wamekua fullbacks mfano Alaba na Alaba ameenda mpaka kua CB. Wakati Kimmich alikua RB ila sasa hivi ni CDM mwenye uwezo wa ochestrator.
 
On top of Leno, Arsenal are expected to listen to offers for Hector Bellerin, Lucas Torreira, Matteo Guendouzi, Ainsley Maitland-Niles and Sead Kolasinac, while there are hopes that they can convince Stuttgart to turn Dinos Mavropanos' loan into a permanent deal.
Tunataka wachezaji gani???
Maitland Niles ni wonderful midfielder, Guendouzi will be the best midfielder in the world in two years time, Lucas torreira duh!

Kocha hatuna
 
Hichi kibonde chetu inawezekana kesho kikafurukuta maana kipo kwenye run nzuri sasa ili kukomeshana nashauri tuumize angalau wachezaji wao 6 ili wasichukue UEFA.

Maana dah... Anyway, seriously hizi mechi zilizobaki hazina maana kwa Arsenal hii ni kwakua zinahitaji uziombee timu zaidi ya 5 zilizo juu yako zipoteze mechi zilizobaki which will be weird.

That shit happens na bodi lazima itakagua kuona kama kuna upangaji matokeo.

Timu imeshindwa kuturn up muda ambao tulihitaji haswa matokeo. Members nikawa nawaambia ni ngumu kushinda kama timu haina watu wenye akili ya kwenda mbele. Zamani ilikua Rosicky au Cazorla akiunasa mpira waliobaki wenyewe wanajitanguliza mbele kwakua wanajua huyu mtu hapa hasimami analifuata box la mpinzani.

Sasa hivi hakuna mchezaji mwenye akili hiyo Guendouzi anajaribu kua hivyo lakini kuna vitu hana na hua navisema kila siku. Sasa hivi mid nzima ni pasi chini na pembeni sasa chelsea wana speed na wanafanya fluid movement kwahiyo hizo pasi za chini kwa kipa na za pembeni zitanaswa sana.

Ila tungekua na wachezaji watatu wenye uwezo wa kusonga mbele huku wanafanya one two ingekua mechi haifikirishi kwakua wao wanacheza 3 4 1 2 so thru balls na kaunta zingewamaliza.

Now kama Arteta anaweza watrain wachezaji hicho kitu leo wakakimaster kwa ajili ya kesho itakua sawa sana

Mchezo wenu tunaujua. Kumbe lengo lenu ni kuumiza wachezaji wetu sasa subiri uone kitakachokutokea kesho

Najua ninyi mtatumia tactics ya nguvu ila sisi tutatumia tactics ya akili tu
 
Ah wee akili sidhani
 
Screenshot_20210511-164416_Goal News.jpg

We ditched Kolasinac so we could go cheap. Fv*I edu
 
Mmejiandaa vip hapo kesho? Kwanza huyo kocha wenu amepata mbinu ya ku unlock defense ya Chelsea?
 
Inasemwa Arsenal inamtaka Sander Berge, namba 8 huyu, ila ana assisst 1 na goli 1 huyu ni mchezaji wa kugombea kweli? Same na Brandt ambaye inasemwa tunamtaka.

Tulihusishwa na Buendia dirisha dogo, maajabu yake hata ofa hawakupeleka. Msimu umeisha Buendia ana assissts na goli kibao kisha unaenda kumtafuti Sarge na Brandt?

Championship ina mechi nyingi kuliko ligi this means Buendia ana stamina na fit pia, forward mwingine mwenye rekodi nzuri ni Ivan Toney. Sisi tunatafuta wachezaji ambao rekodi zao haziongei sana.

Aouar kapunguzwa bei sasa hivi kawa 30M, ila binafsi naamini hatumhitaji tena so kiukweli inabidi tu huyo Buendia aje akiongozana na Toney.

Also tunahitaji ST, Iheanacho namuona ni deal poa as a bull striker. Martinell, Nketiah, Balogun watajifunzia kazi kazini.

Tariq Lamptey jamani dah.
 
Hao wachezaji ndio level zenu sasa

Hii nimeikuta FB jamaa anasema '' No single arsenal fan in the hall, only me''

Ndo alipotufikisha huyu bwana
IMG_20210511_215359_684.JPG
IMG_20210511_215341_625.JPG
 
Hii nimeikuta FB jamaa anasema '' No single arsenal fan in the hall, only me''

Ndo alipotufikisha huyu bwanaView attachment 1781307View attachment 1781308
Hahahaha na next season kocha ni Arteta ntashangaa shabiki wa Arsenal atakayesema tutainusa top 6 ntamshangaa sana timu ishajifia hii tusubiri Miujiza ya Mungu tutachukua miaka 50 kuona tunabeba kombe la EPL sababu bodi kwa ujumla haipo serious na mataji acha tuangalie wenzetu wanabeba makombe na I swear Tottenham na Manchester United kuna siku soon watabeba EPL tunashuhudia humu humu kwenye Jukwaa
 
Hii nimekuta sehemu nikajikutankucheka tu

Zouma was interviewed by a journalist why Hazard laughed that much after the win for chelsea.

JOURNALIST: "Why did Eden Hazard laughed that much after your win against him in the Champions league 2nd leg?

ZOUMA🗣️: "He asked me where was Willian so I told him that he went to Arsenal to win Champions league with Arteta"
 
Back
Top Bottom