Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wolves wataendelea kubebwa na hizi red cards mpaka lini?
 
NA NYIE SIMBEBWE, NAFASI YABL KUMI HAMUIPATI SAFARI HII
20210509_172117.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
IMG_20210509_173649.jpg
Ili kutuliza mashabiki?

Actually tunahitaji almost watu 5 wapya.

Unless kamaanisha major 3 plus mapengo ya LB, RB, AM, ST
 
On paper timu ina wachezaji wazuri. Mtihani umekua kuwaunganisha na kuwamerge na mentality ya ushindi.

Kushindwa kuwalisha hii mentality means kocha wetu anahitaji natural fighters ambao ni Guendouz, Elneny, Tierney, Mari, Torreira. Hapo wengine hawapi game time na wengine kawatoa kwa mkopo.
Nilikuwa nacheki goal.com wanajadili mwenendo wa Arsenal na hiki ni kipande kidogo nimechomoa kwenye makala hiyo;

"They have a rookie manager in charge in Arteta, working alongside a rookie chief executive in Vinai Venkatesham and a rookie technical director in Edu. Even academy manager, Per Mertesacker, is in his first job since retiring as a player.

Everyone is learning on the job at Arsenal. So is it any surprise that mistakes are being made?

And there is no-one with any football experience on the board who can question the technical decisions that are being made."

Nikaona pia kina Henry wanalalamikia issue ya board ya Arsenal kuwa na watu wasio na exeprience ya mambo ya football, wameenda mbele zaidi na kudai hata Kroenke mwenyewe sio 'football man' na anaishi thousand of miles away na pia ana vilabu vingine anamiliki vya soka, hockey na basket kwa hiyo kwake hata Arsenal ikipotea sio big deal.

Wanalaumu kuwa hana malengo ya kisoka bali alinunua club kwa fursa aliyoiona kibiashara, tangu ainunue 2006 hajawahi kuweka senti moja yake.

Club imekuwa ikijiendesha kwa mapato inayo generate na kwa hali ilivyo sasa baada ya issue ya covid-19 inasemekana there is no more fund to spend.

Kibaya zaidi wanasema issue sio tu kwamba kuspend, ila ni money is not well spent in Arsenal. Tangu 2013, Arsenal imetumia £431m kiasi ambacho tunazidiwa na Man City, United, PSG na Barca pekee.

Pamoja na matumizi hayo tazama hali ya club, na hiyo ni kutokana na watu wanaofanya maamuzi kutokuwa na experience na hivyo kufanya maamuzi ya hovyo.

As we are talking today, ukiangalia kikosi cha Arsenal kimejaa makinda wanaokuja kupata uzoefu na wazee wanaokuja kustaafu, hatuna senior players tuliodumu nao kutokana na maamuzi ya hovyo yalio kimbiza star players wetu.
 
Wenger kaibeba klabu for 22 years akatimuliwa kisha kasahaulika.

Cech kakaa na chelsea kidogo tu wamempa kazi.

Kwa uzoefu na kipaji cha Wenger mimi naamini alistahili kuwepo Arsenal kama CEO au kama DOF. Van Gaal alisema united inapotea kwakua haina kiongozi anayejua mpira same issue ndiyo inatukumba hapa.

Matumizi 431M mishahara juu output haiendani. Tuna makinda mengi kwakua mmilikia kuachia pesa kusajili wachezaji established imekua ngumu kwake.
 
Wenger ana kipaji !!! Hesabu makombe ya Mou aliyochukua miaka 6 akiwa Chelsea na huyo mjinga makombe yake yote ya miaka 22 mangapi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dah, tulisema hapa kuwa anguko la Arsenal limeanza muda mrefu na haya yanayotokea sasa ni matokeo ya anguko.

Bado watu wanamtetea Kreonke na kuhamisha lawama kwa Wenger, ikaja Emery na sasa Arteta.
Kroenke nae hana time na makombe.
E0vEpKHWUAonqsC.jpeg
 
Naona jamaa anajipanga 'kuipiga' zaidi Arsenal, yaani mapengo tuliyo nayo ni zaidi ya hizo major signings zake tatu. Bado tuna changamoto ya board, Edu, Vinai na Arteta himself.
Niliwaza hivi mashabiki wa Arsenal wameshindwa vamia ile game?
 
May be, ngoja tuone kama watakuwa wamechukua somo toka kwa fans wa United. Maana United japo hali yao kwenye league inaridhisha wametumia fursa hii kutimiza lengo lao la muda mrefu.

Problem fans wa Arsenal by nature sio 'violent' kiivo..

Back
Top Bottom