Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii timu ina vituko sana. Wenzao wanasajili wachezaji wa maana, wao wanaokota wazee waliojichokea na wajane.
Na bado wakina bakayoko na drink water bado wapo wapo Tena kwa Bei chee Sana ..Arteta asifeli Kama vip tuwapige Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanatokea wanawake wakiwa wamevaa jezi ya Arsenal na kanga iliyolowa wakipita mbele ya wanaume wa London huku wanatingisha wowowo wakisema ety London is Red [emoji23][emoji23][emoji23] hy red pelekeni kwa waganga wa jadi hukoooooooo

London is blue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mzigo itabidi tuhuamishe London tuupeleke uko ikwiriri maana pira lake siyo laa kiwango Cha kuwa timu ya London.
 
Mwana mdogo vipi?..Pulisic ameamka vizuri?..nataka mwanyooshe hawa City wamezidi mdomo.
Asee wale kenge watajuta ..Kai hatowaacha salama mkuu nakuhakikishia watapata tabu kuingia fainal.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Kroenke hajawahi weka hata pound 1 toka ameinunua Arsenal,ameifanya Arsenal kuwa mid table team kama wolves [emoji29][emoji29]. Shida ukiwa shabiki wa kweli basi huwezi kuhama team,mashabiki poleni sana.
 
Kama una account ya BETPAWA ingia hapa ujaribu bahati yako
 
Kroenke hajawahi weka hata pound 1 toka ameinunua Arsenal,ameifanya Arsenal kuwa mid table team kama wolves [emoji29][emoji29]. Shida ukiwa shabiki wa kweli basi huwezi kuhama team,mashabiki poleni sana.
E0vEpKHWUAonqsC.jpeg
 
Share holders washenzi wa Arsenal walimbania Alisher usmanov kisa tu anatoka east Europe wakaona wamuuzie Kroenke s
dah[emoji26][emoji26] leo wanajuta .
Usmanov tena ana mkwanja mrefu ($ 18bill) kuliko Kroenke na aliweka hela ndefu Kroenke amuuzie timu,Kroenke akakataa.Mwisho wa siku Usmanov kaona upuuzi akaamua kumuuzia hisa zake 30%,sasa Stan Kroenke anaumiliki wa 100% so tuwe wa pole.

Msimu ujao nikiona hali ipo hivi na hamna mabadiliko ,nitajipa likizo ya kuwa mshabiki wa Arsenal mpaka mabadiliko yatakapo fanyika.
 
Pole sana chief, karibu Chelsea
 
Oya wazee, nmekuja kuwaambia Chelsea tumeshakula kichwa cha man City anayefuata ni nyie
 
Kutokana na ugumu wa ratiba yetu, sisi Chelsea siku ya J5 hatutaki mambo mengi kama ntaamua kushinda bc hakikisheni mnashinda kipindi cha kwanza magoli mengi kama sio hvy bc na nyie tunakula kichwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom