Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_2826.jpg

Hichi kilikua kikosi cha Wenger na kila msimu alikua anashiriki UEFA.. Kocha bado ni amature kufundisha timu kubwa na yenye presha kama Asnoo
 
Ndio uwezo wachezaji wetu umeishia hapo msimu ujao hata Europa hatumo,Arteta hajatumwa bali ubahili wa wamiliki unaendelea kutugharimu.

Nashukuru mechi nimeifuatilia livescore na tushukuru Mungu ile super league haipo lakini kama wazo la Perez lingefanikiwa tungechapika mechi zote tena vipigo heavy.
Mngeshuka daraja kabisa
 
Ivi arsenal ni lini mtafurahisha mashabiki wenu? Sisi washabiki wa arsenal kila siku huzuni tuh mpk lini? Yaan game ya leo imeniuma kinoma bç tuh. Ivi wachezaji awawezi kucheza kufa na kupona kabisa ? Why? Najuta kuwa shabiki wa arsenal. NAJUTA!
Nyie ni wolves iliyochangamka
 
Timu kama hii ndio ilitaka kwenda kucheza super league ...

yaani ikacheze na

PSG ,buyern ,Madrid,man city ,juventus ,....

Kweli kabisa ,hivi walikuwa serious kweli kuweka na arsenal ??

Kwanza kwa heshima ya jf ,huu Uzi wa arsenal ushushwe huko chini haufai kupigwa pin huku juu na wanaume wa CL ...

Hii timu ni sawa na kina fulham ,wolves na Sheffield..

Kudadeeek
 
Nyie KONDOO si niliwambia kabisa

Haya ni masimango bila chuki, ndo mana Man utd kajpigia zake yule kibonde katulia, ndio maana unayaona haya mamgambo yamehamia huku, hayapo kule yakija yanakuja kwa adabu kabisa co km hivi mnavyofanyiwa nyie kondoo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv nyie arsengepa, kule super league mlitaka kushiriki kama nani.?

Mana kama mnashindwa kuingia fainali ya kikombe cha kahawa mngeweza kweli kucheza na wanaume wenye London yao Chelsea au hata angalau Real Madrid au Pundamilia mdogo man City.?
 
Back
Top Bottom