The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Arsenal ina nafasi kubwa kwenda fainali kama watakuwa serious kwenye 2nd leg.Villarreal imedefend tofauti na nilivyotarajia.
Hata hivyo 2:1 siyo matokeo ya kukatisha tamaa. Hapo ni kama mna winning team.
Nawazia kikosi kipi kwa Arsenal hii kinatosha kupindua matokeo
Kwasababu tumeshaingia Final mkuu, au unabisha??Bro kwanini unye lakini?
Hivi huoni mashabiki wa united wamehama kwao wapo humu? Unadhani kwanini?
Hawezi kubisha huyo
Baba sijabisha baba
Utajua hujuiKwahiyo timu za uingereza zimekuja kucheza tokomile?
Wenzio Wana masikitiko ujueEmery barakoa yake kama kofia ya Birthday

MTAMFUKUZA LEO AU BADO MTAKOMAA NAE?View attachment 1768261
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app


Kwahiyo timu za uingereza zimekuja kucheza tokomile?

Akale dakuEti anamuingiza Martinell sasa hivi
Si mchezoAkale daku
Dah, pole sana mkuu, I feel you.Kwa viwango vya sasa vya timu zote 4 bila kuyumbisha maneno bingwa ni Manchester United wengine tunasindikiza michuano huo ndio ukweli dk ya 80 Arteta kafanya sub 1 what a mother fucking joke Gdnyt guys