Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sisi Slavia Praha tunaongoza kwa goli la ugenini mkija kwetu tunawapachika ukuni mmoja tu unawatosha.
 
MMEKIMBIA UZI WENU

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kiukweli kabisa tumeukimbia uzi wetu.

Japo baadhi yetu tutakwambia ni bundle hatuna au tupo mbali hakuna network.

Ila kudaadeki alhamis tukiwatoa slavia basi tutakuja full full, mapicha tele na ma-update ya kutisha kabisa. Sisi ndio Sisi na tutafukuka.

Ndugu yangu computerarsenal anajua nikisemacho.
 
ndugu yangu, it disheartens to support a team which does not bring the desired results, i cannot blame anyone because when we get the desired results , you see how the supporters come from their hidings in support of the team with pictures and everything you would like to see. lakini matokeo yanawakimbiza washabiki. utakuja kuongea nini?
 
Kabisa mkuu.

Tunalo tatizo kubwa na la msingi arsenal, wenye mamlaka bado hawajaamua kulishughulikia.

Sasa hivi mpira ni pesa tu, timu zote kubwa zimeuzwa na zinamilikiwa na individuals kama zao binafsi na sio habari ya kuwa na share nyingi sijui na bla bla kibao za kina Kroenke.

City
United
Liverpool
Chelsea
Mpaka Leicester pia inamilikiwa na individual
 
Tusipoangalia next season top 10 tutaiskia kwa wenzetu kwa sasa we have nothing to say huwezi kuamini hata leo tunaweza tusishinde inakatisha tamaa robo 3 ya msimu mzima Big team kama Arsenal hata top 8 hatujainusa ?seriously?tangia September?mechi 3 za mwanzo ndio tulikuwa top 4 baada ya hapo ni heri hata ya Unai Emery kuliko huyu kocha anayejua kuvaa kuliko Bielsa
 
Kwamba jamaa ni bitozi????
 
Kwamba jamaa ni bitozi????
Kwa mchezaji mmoja mmoja Arsenal haistahili kuwa nje ya top 10 je tatizo ni nini ?tatizo ni Kocha hana vision na kaishiwa mbinu mfano wa timu kama West ham Leicester Everton zinagombania top 4 sisi tumekwama wapi?naona board sababu ya ubahili inataka kuendelea na Arteta but I am telling you EPL ya sasa sio ya mwaka 80
 
Back
Top Bottom