Fainali timeshafika tayari.Gemu ngumu sana hii, huyu Unai Emery atataka ku-prove uwezo wake kwetu.
Mtapigika vbaya sanaAcha masihara wewe
mi naamini kwenye hii game wakiwepo wachezaji kama Smith, Xhaka,Saka na Odegaard game tutashinda mapema sanaSiyo tunaanza ugenini?
Either way sioni kama tunatakiwa kupaki basi, mbili bila siyo ishu ngumu kuzipindua. Spurs alimpiga Dinamo mbili bila second leg akafa tatu bila.
So tucheze mpira wetu. Tusipaki basi, timu imeimprove katika defence tofauti na alivyoiacha Unai, Unai anaamini 1-0 siyo ushindi ila anaamini 3-2 ni ushindi naamini timu yake itafocus kuscore kuliko kulinda.
Game za ligi ni morale booster tunazohitaji kwa sasa.
Kila la heri umecheza mpira had rahaOyaa nyie arse8 ..kile kikombe cha FA mlichochukua mwaka Jana kwa mbeleko za Refa ..fanyeni mapema mrudishe wemyewe tunakuja kuchukua.
#CFC
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kuna dalili zote mnapigwa final nyie ndo mnatia timu zenu mikosi kwa midomo yenu.Oyaa nyie arse8 ..kile kikombe cha FA mlichochukua mwaka Jana kwa mbeleko za Refa ..fanyeni mapema mrudishe wemyewe tunakuja kuchukua.
#CFC
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app