Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Japo sina mashaka sana na ushindi wetu leo ila lazima wachezaji wetu wajitume na waweze kutumia nafasi vizuri sio km gem iliyopita tulikosa nafasi tatu za wazi
IMG_20210415_211205.jpg


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hili goli tumepata ila ni kazi ya lady luck.

Emile anakimbia na mpira wanaoungana naye kukimbia wanahesabika.

Shambles
 
Back
Top Bottom