Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa watoto tukizubaa wanatuchapa....isije ikawa kama yaliyotokea jana darajani...

Ndo hofu yangu ilipo hapo kaka........Yaani inabidi kama kutakuwa na additional minutes ile winning squad iingie....Simlaumu Golie kwa hilo goli dho.....
 
Hawa walikuwa wanatafuta replay tu hakuna lingine hapa ni hela tu ila wanajichosha wenyewew tu
 
Arsenal bana Chamakh kwangu leo kwangu alikuwa underperfomer ni kama hakuwemo kabisa.
 
...Another playoff kama ilivyokuwa kwa Leeds na Ipswich Town.
Hawa Arsenal-2nd class-Reserve players wanatuangusha sana,
anyway...3 cheers for Leyton Orient. :clap2::clap2::clap2:
 
Acha jamaa wafurahi.......To them is like a WIN........koz the hole stadium never expected a Draw........They said they will finish up where Barca leaves.....
 
...Another playoff kama ilivyokuwa kwa Leeds.
Hawa Arsenal-2nd class-Reserve players wanatuangusha sana,
anyway...3 cheers for Leyton Orient. :clap2::clap2::clap2:

Umeona eeeeh...hata Song leo alikua Famba sana....kapoteza pasi nyingi sana.....Sijui anapiga NYETO???????? Inaboa sana kuongeza game za kuangalia tena ambazo hazikua na maana kama hii....
 
Umeona eeeeh...hata Song leo alikua Famba sana....kapoteza pasi nyingi sana.....Sijui anapiga NYETO???????? Inaboa sana kuongeza game za kuangalia tena ambazo hazikua na maana kama hii....

Be sportman Mazee watch your language....!
 
...Another playoff kama ilivyokuwa kwa Leeds na Ipswich Town.
Hawa Arsenal-2nd class-Reserve players wanatuangusha sana,
anyway...3 cheers for Leyton Orient. :clap2::clap2::clap2:

Eti, hakuna dakika za nyongeza kama Jana kwa Bluz?
 
Back
Top Bottom