Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unataka kuniambia Arsenal haina uwezo wa kumchukua Tuchel when he was available? Rafa, Luiz Henerick, Ranieri? Sasa hivi we have multiple of crises; discipline, Auba and Lacca's talents killed by the current coach. where are we heading to?
Mngekuwa na uwezo wa kumchukua tuchel si mngeshamchukua?

Uwezo haupo.
 
Unataka kuniambia Arsenal haina uwezo wa kumchukua Tuchel when he was available? Rafa, Luiz Henerick, Ranieri? Sasa hivi we have multiple of crises; discipline, Auba and Lacca's talents killed by the current coach. where are we heading to?
Mkuu nitaambatanisha figures za mishahara ya kocha wetu (Arteta), Tuchel akiwa PSG na Luis Enrique last time akiwa Barca.

Ukicheki unaweza kuona tofauti ya mishahara, lakini pia tofauti na malipo makocha wa high profile huwa na mahitaji makubwa pia kwa upande wa usajili kitu ambacho kwa Arsenal ni vigumu kumudu kwa wakati mmoja.

Nimeweka hizo figure nikiwa na maana ya kwamba ndio mikataba yao ya mwisho kabla ya kujitokeza kwa fursa ya sisi kuwaajiri, yaani nikimaanisha by the time tungeweza kuwapata kwa mishahara kama hiyo ama jirani na hiyo.

Rafa na Ranieri nawachukulia kama average coaches kwa hiyo hao tunaweza kuwapata muda wowote tukiwataka.
Screenshot_20210208-111852.jpeg
Screenshot_20210208-111429.jpeg
Screenshot_20210208-110317.jpeg
 
Unataka kuniambia Arsenal haina uwezo wa kumchukua Tuchel when he was available? Rafa, Luiz Henerick, Ranieri? Sasa hivi we have multiple of crises; discipline, Auba and Lacca's talents killed by the current coach. where are we heading to?
kaka timu haina pesa, hutizami ukaona Free transfers, Loan deals kind of players?
 
if AFC managed to bring AW into the list of top 5 highly paid coaches, how comes you claim that we cannot manage one today? that is one, two, the issue of players'recruitment needs be investigated thoroughly. Hapa kuna kitu hakipo sawa, we buy highly rated players but it takes time to see value for the money spent.
 
Mkuu mysterio salama?

Mara nyingi huwa najitahidi kuwa clear kwamba KWA HALI YA SASA YA ARSENAL, Arteta is the best option we can afford huwa sina maana ni mtu sahihi kuliko mwingine, statement yangu huwa ni conditional muda wote!!

Hatuna uwezo wa kuajiri high profile coach, squad yetu inahitaji overhaul ya maana na kifedha tupo weak kiasi na pia hatupo hata Uefa ukichanganya na effect za Covid-19 ndio shida kabisa.

Kabla hata Arteta hajapewa timu nilicomment humu nikasema kocha pekee Arsenal inaweza kumuajiri baada ya Emery ni huyu na sababu kubwa niliyotoa ni pesa na kuna watu walinipinga nakumbuka.

Kwa Arteta na Arsenal ni a kind of win-win situation, kwake ni 'dream job' na kwetu ni 'affordable', na nadhani hata kama ataondolewa Arteta tutatafuta kocha ambaye ni 'average' mwenye kuweza kuleta 'surprises'.
Respectfully I disagree.

I am sire there are number of high profile coaches who would like to join arsenal. There is something going on with arsena.

Just think, how in hell would the board make him a manager after a very short period of time???
 
Unataka kuniambia Arsenal haina uwezo wa kumchukua Tuchel when he was available? Rafa, Luiz Henerick, Ranieri? Sasa hivi we have multiple of crises; discipline, Auba and Lacca's talents killed by the current coach. where are we heading to?
That's why I told him i disagreed.

Reports showed allegri was willing to come. Proven performer!

Anyway, tuwape pole young gunners kwa maumivu mnayopitia.
 
Ina maana wewe umejitoa? Nakumbuka tupo boat moja. Very disturbing kuona timu inafungwa mechi ambazo tulistahili kushinda, Likewise it is disturbing kuona wachezaji wa kutegemewa viwango vyao vina drop
 
Hapana brother. I am talking about young gunners and no disrespect to anybody . I see like my brother computerarsenal anavyokuwa na hasira when the team doesn't perform.

Mimi nipo mkuu, years after years now and I am gunners for life. Tena ni die hard fan, last time I wanted to fly to Baku for the final under Emery safari ikakwama but then I am glad sikwenda 😀😀😀😀

Anyway, ngoja wachambuzi waje watuambie team inapofeli na Sisi tupo tunasikiliza
 
Kwa kuwa haya ni maoni wote tunatoa kutokubaliana ni jambo la hekima pia, inawezekana maoni yako yakawa sawa ama yangu.

Ila ukiangalia ligi ya EPL ambayo ambayo vilabu kama Everton wana hire kocha wa calibre ya Ancelotti, Spurs wana Mourinho unaweza kuona ni ligi ngumu kiasi gani.

Unapompa offer high profile coach kuja pale maana yake umpe na transfer package ya kushindana na kina City, Liver, Chelsea, Man U na Spurs vinginevyo atakuja kuchafua CV yake.

Yes, Allegri alitaka kuja Arsenal ila moja ya mahitaji yake ilikuwa ahakikishiwe squad overhaul, Luis Enrique kwa mfano alitaka £200m transfer kit na alisema pale wachezaji wenye uhakika wa kubaki first team ni 6 tu, wengine wanahitaji ama kuimprove au kuondolewa.

Kwa kuzingatia historia ya Arsenal tangu kipindi cha Wenger, club ilikuwa ina kikosi finyu, tunaanza ligi vizuri ikifika december tukiwa na injury 2-3 kwisha habari. Na hili ni tatizo tumedumu nalo kwa zaidi ya miaka kumi ya mwisho ya Wenger.

Na tukafikia hatua hata wachezaji wetu tegemeo walianza kuikimbia club kwenda kusaka mataji na good payment kwingine. Na hata walipouzwa, sisi wote ni mashahidi waliuzwa kwa bei za 'nyanya' kutokana na mikataba yenye thamani ndogo waliyokuwa nayo klabuni.

Henry kwenda Barca aliuzwa £16m, Fabregas pia £35m akiwa na miaka 24 na Barca walimwekea release clause ya £175m, Nasri to Man City £25m akiwa na miaka 22, Van Persie to Man U £22.5m akiwa na miaka 29 tena akiwa kwenye peek of his career, Hleb to Barca, Flamini to Milan, Adebayor to Man City and the list goes on and on.

Kwa hiyo ninapo tumia kigezo cha Arsenal haina financial muscles za kutosha atleast nina record inayo extend way back sikurupuki kuitazama Arsenal ya sasa tu.
Respectfully I disagree.

I am sire there are number of high profile coaches who would like to join arsenal. There is something going on with arsena.

Just think, how in hell would the board make him a manager after a very short period of time???
 
Kwa kuwa haya ni maoni wote tunatoa kutokubaliana ni jambo la hekima pia, inawezekana maoni yako yakawa sawa ama yangu.

Ila ukiangalia ligi ya EPL ambayo ambayo vilabu kama Everton wana hire kocha wa calibre ya Ancelotti, Spurs wana Mourinho unaweza kuona ni ligi ngumu kiasi gani.

Unapompa offer high profile coach kuja pale maana yake umpe na transfer package ya kushindana na kina City, Liver, Chelsea, Man U na Spurs vinginevyo atakuja kuchafua CV yake.

Yes, Allegri alitaka kuja Arsenal ila moja ya mahitaji yake ilikuwa ahakikishiwe squad overhaul, Luis Enrique kwa mfano alitaka £200m transfer kit na alisema pale wachezaji wenye uhakika wa kubaki first team ni 6 tu, wengine wanahitaji ama kuimprove au kuondolewa.

Kwa kuzingatia historia ya Arsenal tangu kipindi cha Wenger, club ilikuwa ina kikosi finyu, tunaanza ligi vizuri ikifika december tukiwa na injury 2-3 kwisha habari. Na hili ni tatizo tumedumu nalo kwa zaidi ya miaka kumi ya mwisho ya Wenger.

Na tukafikia hatua hata wachezaji wetu tegemeo walianza kuikimbia club kwenda kusaka mataji na good payment kwingine. Na hata walipouzwa, sisi wote ni mashahidi waliuzwa kwa bei za 'nyanya' kutokana na mikataba yenye thamani ndogo waliyokuwa nayo klabuni.

Henry kwenda Barca aliuzwa £16m, Fabregas pia £35m akiwa na miaka 24 na Barca walimwekea release clause ya £175m, Nasri to Man City £25m akiwa na miaka 22, Van Persie to Man U £22.5m akiwa na miaka 29 tena akiwa kwenye peek of his career, Hleb to Barca, Flamini to Milan, Adebayor to Man City and the list goes on and on.

Kwa hiyo ninapo tumia kigezo cha Arsenal haina financial muscles za kutosha atleast nina record inayo extend way back sikurupuki kuitazama Arsenal ya sasa tu.
how do we move from where we are? wait for imminent defeats?
 
Aisee kwa maoni yangu tupo kwenye kipindi kigumu mno labda kuliko kipindi kingine tangu nianze kushabikia Arsenal.

Nadhani hata owners wako dilemma, kwa kipindi hiki kwa club kama Arsenal sidhani kama wanaweza fukuza kocha na hata akifukuzwa bado tuna changamoto ya kikosi, na atayekuja lengo la juu atapewa ni kusecure top 4 finish.

Project ya Arsenal ukiitazama iko on progress, kwa sasa tunaondoa dead woods na kujaribu kufanya proper signings, sasa ukifukuza kocha maana yake anayekuja naye aanze upya.

Ni ama tuwe wavumilivu kwa yanayo endelea kuona kama kuna unafuu wowote au tujipe brake ya kushabikia if at all pains have gone beyond measure.
 
if AFC managed to bring AW into the list of top 5 highly paid coaches, how comes you claim that we cannot manage one today? that is one, two, the issue of players'recruitment needs be investigated thoroughly. Hapa kuna kitu hakipo sawa, we buy highly rated players but it takes time to see value for the money spent.
makocha kuwa interested sio shida, shida ni kumeet demands zao, uwape kazi ya kuifanya arsenal kuwa tittle contender same time una pound mil 50 kama budget? si vituko nani aingie huo mkenge

Bottom line: kutoka hapo arsenal ilipo ianze kuwin EPL tittle lazima kuwe na ruthless trimming of average players and recruitment of quality players, lazima kuspend CASH sio Free transfers za willian, Kolasinac, Luiz watu wameshajichokea, wanakuja kwako kuwa XI
 
ukiangalia timu zimewin EPL toka 2005 mpaka 2020 (miaka 15) ispokuwa tu LEICESTER CITY zoote zimekuwa na massive Budgets, better recruitments kwenye transfers

Chelsea, man city, man utd, Liverpool (hawa ndo mabingwa)

msiotumia hela hamfiki kokote asee
 
Wenger naweza sema alikuwa na sababu nyingi za kulipwa huo mshahara.

Ni chini yake ndipo Arsenal ilikuwa transformed kufikia ilipokuwa by then, yeye alikuwa ni key figure kubadili average players kuwa world class ambao wengi waliuzwa na kuboost mapato, kuspot talents zilizolelewa kwenye academy pale Hale End na baadaye kuwa regular first team players na wengine kuuzwa, kuifanya timu kuwa na regular Uefa spot kwa almost 20 consecutive seasons.

Ni chini yake ndipo project ya kujenga uwanja wa Emirates (60k+ full capacity) ilifanyika na alisimamia uboreshaji wa training facility za club na kuwa one of the best in the world, alivutia deals za makampuni kibao sana kufanya endorsement pale Arsenal, ni katika kipindi chake Arsenal fan base ilikua rapidly all over the world.

In short ukizungumza Arsenal unamzungumzia Arsene, I don't know how it came to be such a coincedence but simply call it Arsene FC or rather call him Arsenal Wenger!!
if AFC managed to bring AW into the list of top 5 highly paid coaches, how comes you claim that we cannot manage one today? that is one, two, the issue of players'recruitment needs be investigated thoroughly. Hapa kuna kitu hakipo sawa, we buy highly rated players but it takes time to see value for the money spent.
 
Wenger naweza sema alikuwa na sababu nyingi za kulipwa huo mshahara.

Ni chini yake ndipo Arsenal ilikuwa transformed kufikia ilipokuwa by then, yeye alikuwa ni key figure kubadili average players kuwa world class ambao wengi waliuzwa na kuboost mapato, kuspot talents zilizolelewa kwenye academy pale Hale End na baadaye kuwa regular first team players na wengine kuuzwa, kuifanya timu kuwa na regular Uefa spot kwa almost 20 consecutive seasons.

Ni chini yake ndipo project ya kujenga uwanja wa Emirates (60k+ full capacity) ilifanyika na alisimamia uboreshaji wa training facility za club na kuwa one of the best in the world, alivutia deals za makampuni kibao sana kufanya endorsement pale Arsenal, ni katika kipindi chake Arsenal fan base ilikua rapidly all over the world.

In short ukizungumza Arsenal unamzungumzia Arsene, I don't know how it came to be such a coincedence but simply call it Arsene FC or rather call him Arsenal Wenger!!
Thanks A lot

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom