WAMEKIMBIA UZI WAO!!Ninacho wapendea mashabiki wa Asaniali, wakifungwa mbio nyingi huwaoni humu.
Tangu asbuh naitafuta comment ya AronArsenal sijaiona hata moja!
Tunatoa stress..........Acha matusi..
Mkuu wakija wenye arsenal yao itakuwa balaa hapa ujue
Mkuu baada ya kazi ngumu ya kufukua fukua ardhi, kukimbizana na walinzi wa poli (kumbuka hapo ukikamatwa miezi sita mpaka mwaka jela inakuhusu) huwa tuna jifariji na vipigo vya Asaniali.Inaonekana Arsenal kupoteza ndio furaha yako wewe na ARV,komaa kutafuta hela machimboni huko,Hii ya Arsenal haiwezi kukusaidia.
Niaje bro??Boti mnayosafiria hatupishani sana.
Poleni aisee.
Emi Martinez bonge la kipa , arsenal mkamuuza !
Niaje bro??
Achana na hizo storyMIMI NA ARTETA NANI TAKATAKA
Usione aibu kijana njoo Chelsea ule mema ya nchi Abramovic Ni tajiri pekee anayependa team kuliko hela anazotoaUruke mkojo ili ukanyage mav
Nani anataka kushabikua timu ndogo ya 2004, ni mpuuzi pekee hahaaahaUsione aibu kijana njoo Chelsea ule mema ya nchi Abramovic Ni tajiri pekee anayependa team kuliko hela anazotoa
Uliona wapi mbabe wa hizi kazi Gunners akashuka daraja? Hizo sifa zenu nyie watoto wa juziHaya utaongea haya maneno ukiwa umeshuka daraja.
Hahaaaaaaa daaah timu hizi zitatuua kwa kweli...Tunatoa stress..........
Kanywe panadol ulale.Uliona wapi mbabe wa hizi kazi Gunners akashuka daraja? Hizo sifa zenu nyie watoto wa juzi
Cheltako jiKazeni mtafika tu IPO sikuKanywe panadol ulale.
Wewe team yako Ni ya zamani inafanya now days?Nani anataka kushabikua timu ndogo ya 2004, ni mpuuzi pekee hahaaaha
Sisi kumgonga Cheltako nje ndani ndio ushindi wetu mkuu hahahahaWewe team yako Ni ya zamani inafanya now days?
Mkuu,sisi tutafungwa na wote ila nyie Nyumbu ni kuwakalisha tu, mkijitahidi sn labda sareMkuu baada ya kazi ngumu ya kufukua fukua ardhi, kukimbizana na walinzi wa poli (kumbuka hapo ukikamatwa miezi sita mpaka mwaka jela inakuhusu) huwa tuna jifariji na vipigo vya Asaniali.
Kwa hiyo Asaniali hapo anakwenda kama kiburudisho, sasa kwanini useme haini saidii?
Asaniali ananisaidia kunipa furaha.
Kwa City mtashinda, si huwa mnapenda kubania wakubwaKama Aston villa tunashindwa kumfunga tuna next 3 matches vs Leeds ,City na Leicester (je tutamfunga nani?au tutajiandaa kurudi nafasi ya 15?)ukianzia game ya Wolves hadi ya Leicester hawa wote walitufunga.
Game inaendelea tusubiri 90 minutes