Kwa comment yako imebidi nijibu,kweli kabisa Arsenal haijitambui na haijui itakacho that's the truth, Arteta katupa makombe 2 yes that's fine ila tangia aifundishe Arsenal kuanzia January 2020 hadi sasa February 2021,nafasi yake ya juu kwa Arsenal ni ya 8
kama viongozi hawana vision ,mimi kama shabiki kwa nini nipoteze hela zangu kibanda umiza kuangalia mechi za Arsenal?