Sisi ndio Wolves sasaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi Mbweha wa jangwani tumejipanga ipasavyo.
Point tatu uhakika leo
Wolves 2-1 Arse8
Come on Wolves[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Anakukosha ee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thomas akishika mpira naburudika sana
Jitu limepakatwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lei kuna jitu litalalwa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe una mechi weweMechi yetu hii
Hahaaaaa! Salama ndugu. Napita tu kuwasalimia...TUMEHUJUMIWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lugha chafu chafu inazijua au lugha imekuchanganya?
Hahahahahaha sisi Arse8 halisi tunasema Arteta mitano tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda itakua anamzungumzia Godfrey wa kijiwe sugu, yule muuza bangili za chuma.
Muda siyo mrefu Tunahamishia msiba maeneo ya kule OT.Wolver endeleeni kukaza hivyo hivyo, hata sare tamu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuipake oil siyoGame ishakua ngumu kmmk
Hahahaha dakika ya ngap mkuu wangu naona baad ya wewe kufanya sub matokeo yamechange sasa munaongoza 2-3[emoji23]Napendekeza smith Rowe out, Lacazette out, Gabriel in, Aubameyang in
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bi mkubwa tenaTulia bi mkubwa
Iteni moderator tupige uzi huu ban haraka sana Arse8 itasababisha vifo vya kujitakia hapa..naona watu wakijinyonga hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi ikiisha tumeshinda Mungu atakuwa ametupenda sana otherwise tutafungwa au sare na hatuna mshambuliaji mpaka beki watapanda kufunga
Partey ana yellow card labda wolves wapate red card ,mechi nyingi msimu tumezipoteza kisenge sababu ya red card
Naandika tu tunapigwa la pili
Next matches Aston villa Leeds Manchester City [emoji849][emoji849] kwa usenge na ukumanina wa kupata red cards tutajikuta kule kule tulipotoka