Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi ikiisha tumeshinda Mungu atakuwa ametupenda sana otherwise tutafungwa au sare na hatuna mshambuliaji mpaka beki watapanda kufunga

Partey ana yellow card labda wolves wapate red card ,mechi nyingi msimu tumezipoteza kisenge sababu ya red card

Naandika tu tunapigwa la pili

Next matches Aston villa Leeds Manchester City kwa usenge na ukumanina wa kupata red cards tutajikuta kule kule tulipotoka
 
Wee ulishafikiria uko msituni umevunjika mguu na uko mbele ya Mbwa mwitu mwenye njaa hajapata mlo wake kwa siku tatu yote.
Leo Arsenal mtatafunwa mpaka mhame jukwaa wote. Ila msiache kusema mazishi yatafanyika wapi
 
Huyu Luiz nae ni wa kumvunjia mkataba akale pensheni Brazil huko
 
Huyu smith Rowe sijaona anachokifanya. There are teams in epl that play better when they have a man down
 
10th
Screenshot_20210202-223039_All%20Goals.jpg
 
Mared card FC.
Timu wachezaji wake hawana nidhamu kabisa .Huyu njiwa alikuwa wa kwenu lakini ukosefu wa nidhamu umewaponza .
 
Back
Top Bottom