Wee jamaa unanifurahishaga sanaHamkeni, "pumbavu" muna raha gani mulele mpaka mida hii?
Namba sita inawasubiria. Inabidi mkaze kamba kweli kweli wazee wa ManSix UnitedHabari! Habari! Habari!
Umoja wa mashabiki wa Manchester United Udambwi Udambwi tunapenda kuutangazia Umma wa Watanzania kuwa hatujali kipi kilichotokea Jana.
Sisi tulishazoea kuwazabua Wale wenye Ngebe vipigo kama hivi, waulizeni Arsenal kwanza watawapa majibu mazuri.
Eti! tuchelewe kuamka? Kwa lipi sasa? Kwa hivyo Vigoli Tisa tu, Vigoli ambavyo hata Arsenal tuliwahi kuwabomomoa ila Southampton akaona yeye ajiongeze kidogo.
Halafu tuwaambie tu, tumeshuka Kileleni kwa dharula maalumu, kule Juu kuna Baridi sana hivyo basi tumeshuka chini mara moja ili kununua Makoti.
Siku si nyingi tunarudi tena Juuuu halafu tuwaone wale wenye Ngebe wakitupigia Kelele, swala la kupewa Ulinzi bado liko palepale
Afisa Mhamasishaji Manchester United Udambwi Udambwi.
Mkuu, labda uweke wazi tulihujumiwa na nani?Jana tulihujumiwa
Refa na VARMkuu, labda uweke wazi tulihujumiwa na nani?
Hakika, nimesikitishwa na kitendo cha fans kumshambulia Luiz na kwa uchache Leno pia.Refa na VAR
Red ya kwanza ndio imeharibu kila kitu.
Hata Mimi naliona tukio la Leno Kama la Kijinga zaidi.Hakika, nimesikitishwa na kitendo cha fans kumshambulia Luiz na kwa uchache Leno pia.
Kwa nini mkuu?Hata Mimi naliona tukio la Leno Kama la Kijinga zaidi.
Mkuu umenena vyema kabisaaa...yule adama traore kamsumbua sana cedric, kama mara mbili anamzunguka na chenga ile ile.Again, watu wanamtukana Leno kwa sababu ipi?
Mbona ni jambo rahisi tu kujua kuwa team ina red card, meaning one man down. Kwa hiyo at a certain point of the game one player will just find himself in a stretch to cover a 'ghost' position created by the resulting deficit.
Leno was by no means in an exception of the situation above, so he went out of the box to cover the gap!! He unfortunately produced such a foul, nayo pia tunalaumu?
Technically red card ya Leno ni domino effect ya first red card ambayo nayo ndiyo hivo tena.
My take:
Niliwahi kushauri humu na nitarudia tena, kabla ya kujivika ushabiki tujifunze angalau rules of the game na siyo mbaya pia ukijifunza abcs za soka itakusaidia kumudu mihemko ya kishabiki.