Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
TUMEHUJUMIWA
Hapana ni utaahira wa wachezaji, zilikuwa clear redcards
TUMEHUJUMIWA
hujuma fcTUMEHUJUMIWA
Mkuu,pamoja na unbeaten run yenu lakini bado mlikuwa hamjaanza walau kusogea.Mechi ikiisha tumeshinda Mungu atakuwa ametupenda sana otherwise tutafungwa au sare na hatuna mshambuliaji mpaka beki watapanda kufunga
Partey ana yellow card labda wolves wapate red card ,mechi nyingi msimu tumezipoteza kisenge sababu ya red card
Naandika tu tunapigwa la pili
Next matches Aston villa Leeds Manchester City [emoji849][emoji849] kwa usenge na ukumanina wa kupata red cards tutajikuta kule kule tulipotoka
Thomas akishika mpira naburudika sana
TUMEHUJUMIWA
Hongereni kwa ushindi mnonoArsenal 6-2 Blackburn
Wako default modeNasikia gari limewaka
Tuishie kusema sisi ni maviiii ama nasema uongo ndugu zangu