ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,993
WA HALI YA JUU SANA, INAWEZEKANA KUNA RED CARD YA TATU HAPA [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kifuatacho ni Ubakaji wa kikatili sana.
WA HALI YA JUU SANA, INAWEZEKANA KUNA RED CARD YA TATU HAPA [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kifuatacho ni Ubakaji wa kikatili sana.
VIPI HALI YAKO, UMEZIMA DATA AU TV [emoji1][emoji1][emoji1]Roy Kean aliwahi kusema kuwa hakuna namna Saka akashindwa kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi msimu huu..
Huyu dogo ni [emoji91][emoji91]
Sipati picha kama angekuwepo kwenye game v Man Utd.
Ongeza sauti
Saa tano nakuja kulala huko huko msibani. Soton hamuachi mtu
YES, YA RED CARD TUULEO UWANJANI TUNAINGIA NA MATOKEO YA AINA MOJA TU.
WIN
#COYG
Hiyo lugha ya machimbo lazima iwachanganye
Tulia uchezee mpata.Tumerudi kulekule lack of discipline
"Kitambo babu kipindi hicho ukisuka wanasema unaliwa boga."Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa imeisha hiyoo Ft Lordeyes ndio nausikiliza hapa
Mysterio umeona lugha za walevi hizi?
TUMEHUJUMIWA