OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
God yupi uyo wakati unaongea lugha chafu chafuOh my God, Sakaaaaaaaa, two shots on target within three minutes
God yupi uyo wakati unaongea lugha chafu chafuOh my God, Sakaaaaaaaa, two shots on target within three minutes
God yupi uyo wakati unaongea lugha chafu chafu
Haya magoli tunayokosa, I get concerned
Labda itakua anamzungumzia Godfrey wa kijiwe sugu, yule muuza bangili za chuma.God yupi uyo wakati unaongea lugha chafu chafu
Ongeza sautiWolver endeleeni kukaza hivyo hivyo, hata sare tamu tu.
Labda itakua anamzungumzia Godfrey wa kijiwe sugu, yule muuza bangili za chuma.
Ila marefa hua hawana huruma na arsenal kabisa .nahisi ingeangaliwa vizuri kusingekua na red card
Luiz ametucost mno mnoHuu mchezo hauhitaji hasira