Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanaouliza sakata la Aubameyang: Mama yake Aubameyang hatunae tena.

Wanaouliza sakata la Mustafi: Project aliyopewa Arteta ni kuhakikisha wachezaji wenye mlengo wa Kiislam kuondoka.
Mustafi na Ozil ni waislamu pekee Arsenal? Hakuna wengine waliowahi kucheza pale?
 
Jamaa yako kazingua sana!
Granit Xaka ni muslim mhamiaji toka Albania to Uswisi baada ya baba yake aliyekuwa mwana siasa kutoroka jela na huwa hakosi msikitini,he is devoted muslim yaan sio muislam jina bali ni yule anaye swali swala 5
Mbona anacheza games zote?Muacheni kocha aamue nani anafaa ktk mipango yake
 
Wakulangwa naombeni mnipigie Man U Jmosi,uwezo huo mnao
Lkn bado hapa hamyaogopi majogoo?
 
Uongo sana huu
Granit Xaka ni musilam mhamiaji toka Albania kuhamia Uswisi baadanya baba yake aliyekuwa mwana siasa kutoroka jela na hakosi msikitini,he is devoted muslim yaan sio muislam jina bali ni yule anaye swali swala 5
Mbona anacheza games zote?Muacheni kocha aamue nani anafaa ktk mipango yake
Na wenzetu michezo kwao inasimamiwa na taasisi ambazo zisingeacha hili lipite.

Robin Van Persie ni muislam. Na alikua tegemeo Arsenal mpaka alipoamua kwenda united.

Abou Diaby.

Marouane Chamakh.

Hao ni kwa haraka ninaoweza wakumbuka. Klabu miaka yote imepokea waislamu. Ina shareholders waislamu, ina shabiki muislam, Osama, pengine isajorsergio hatofikia kujitoa kama alivyojitoa Osama kwa ajili ya uislam.

Arteta kacheza na wakina Ozil, Elneny, Xhaka, Chamakh na hajawahi kukorofishana na yeyote. Bodi ni ile ile leo object iwe kuannihilate waislamu badala ya kushinda makombe?
 
Wakulangwa naombeni mnipigie Man U Jmosi,uwezo huo mnao
Lkn bado hapa hamyaogopi majogoo?
Majogoo hamjawahi kuvuka kwenda raundi ya tano FA tangu Klopp aje. Na safari hii alikua na hamu na kikombe chochote kiwafute machozi ila wazee jiandaeni.

Efl City kapaniki. FA hampo. Ligi mko nafasi ya tano. Uefa hamna kikosi cha kupambania ligi na uefa.

Mwakani Europa.
 
Jamaa yako kazingua sana!
Granit Xaka ni muslim mhamiaji toka Albania to Uswisi baada ya baba yake aliyekuwa mwana siasa kutoroka jela na huwa hakosi msikitini,he is devoted muslim yaan sio muislam jina bali ni yule anaye swali swala 5
Mbona anacheza games zote?Muacheni kocha aamue nani anafaa ktk mipango yake
Tatizo ni kusoma na usielewe, hapa nitamjibu na Castr swali ulilofanyia quote hii. Nimewataja wote even Xhaka kwa sababu ni moja ya mshakaji wangu wa karibu.

Naandika tulipo na tunakoenda (Under Edu na Arteta) ambao wao wana hila sio Arsene Wenger aliyetengeneza familia kwa miaka 20+ hawa wanakuja kuvuruga.

Currently wachezaji wenye mlengo wa Kiislam Arsenal hawatakiwi kuonekana.
 
Na wenzetu michezo kwao inasimamiwa na taasisi ambazo zisingeacha hili lipite.

Robin Van Persie ni muislam. Na alikua tegemeo Arsenal mpaka alipoamua kwenda united.

Abou Diaby.

Marouane Chamakh.

Hao ni kwa haraka ninaoweza wakumbuka. Klabu miaka yote imepokea waislamu. Ina shareholders waislamu, ina shabiki muislam, Osama, pengine isajorsergio hatofikia kujitoa kama alivyojitoa Osama kwa ajili ya uislam.

Arteta kacheza na wakina Ozil, Elneny, Xhaka, Chamakh na hajawahi kukorofishana na yeyote. Bodi ni ile ile leo object iwe kuannihilate waislamu badala ya kushinda makombe?
Castr mimi sifungamani na vyama vyovyote vya kale wala kisasa. Tumaini langu nikuona misingi ya haki, usawa, wajibu na heshima juu ya wengine ikiwepo imani za wahusika.

Nilifanya tempo Arsenal Digital under Wenger era Director of digital Clark aliamini usawa regardless of age, title, belief or whatever. Nafahamu Arsenal inside. Protocols and Chevcols, Arsenal ya Wenger na Gazidis was far better (Kama taasisi) tatizo limeanza after Edu appointee na kisha Arteta.

Arteta ajawahi kukurofishana na yeyote? Arteta amekwisha korofishana na wachezaji wanne Arsenal. Raul Matt alisuggest wachezaji wenye historia na kutumikia Arsenal wapewe Honor ni huyo huyo Arteta anakataa.
 
Tatizo ni kusoma na usielewe, hapa nitamjibu na Castr swali ulilofanyia quote hii. Nimewataja wote even Xhaka kwa sababu ni moja ya mshakaji wangu wa karibu.

Naandika tulipo na tunakoenda (Under Edu na Arteta) ambao wao wana hila sio Arsene Wenger aliyetengeneza familia kwa miaka 20+ hawa wanakuja kuvuruga.

Currently wachezaji wenye mlengo wa Kiislam Arsenal hawatakiwi kuonekana.
Umesema Edu ana hila.

Unai alimtaka Wilfried Zaha.

Edu akamleta Nicolas Pepe.

Nicolas Pepe ni muislam.
 
Castr mimi sifungamani na vyama vyovyote vya kale wala kisasa. Tumaini langu nikuona misingi ya haki, usawa, wajibu na heshima juu ya wengine ikiwepo imani za wahusika.

Nilifanya tempo Arsenal Digital under Wenger era Director of digital Clark aliamini usawa regardless of age, title, belief or whatever. Nafahamu Arsenal inside. Protocols and Chevcols, Arsenal ya Wenger na Gazidis was far better (Kama taasisi) tatizo limeanza after Edu appointee na kisha Arteta.

Arteta ajawahi kukurofishana na yeyote? Arteta amekwisha korofishana na wachezaji wanne Arsenal. Raul Matt alisuggest wachezaji wenye historia na kutumikia Arsenal wapewe Honor ni huyo huyo Arteta anakataa.
Kukorofishana kwa ajili ya dini.

Nililenga hilo.
 
na hiyo kuwa kuna project ya wachezaji waislamu kuondolewa ,umeitoa wap? nan asiyejua mustafi alishachokwa toka enzi za wenga kwa kuchomesha, na analipwa mshahara mkubwa for nothing....

kilichopo ni kuondoa wachezaji wote wenye mishahara mikubwa na hawana impact,ili timu iweze kupunguza wage bills, na kuweza kusajiri summer bila kujibana,

mustafi, luiz, ozil, sokratis, kolasinac, toreira, saliba, guendouz, hawapo kwenye mipango ya arteta kuanzia msimu ujao...je wote hao ni waislamu, ?

pepe na willian, huenda wakavumiliwa....labda ofa nzuri zikija watauzwa
Kinachonishangaza nikusema 'For Nothing' wakati wakicheza hamkuwahi kupata matokeo? Leo ndio imekuwa for nothing?

Asilimia kubwa walienjoy moments za Mustafi, Özil, Kolasinac, Luiz, Guendouzi, Toreirra na hata Papa. Hasa wewe! Leo hii vimaingizo kidogo wengine mnawaona takataka.

Kwa taarifa yako hao wachezaji ambao sio bora ndio walikuwa wakiingia UCL.
 
Umesema Edu ana hila.

Unai alimtaka Wilfried Zaha.

Edu akamleta Nicolas Pepe.

Nicolas Pepe ni muislam.
Niliandika awali mlolongo huu kufikia malengo Özil, Kolasinac, Mustafi, Elneny, Xhaka na Pepe.

Sokratis papa aliyekuwa na experience aliachwa na kuwekwa Saliba ambaye hakutaka hata kumtumia unafahamu kwa nini?
 
Castr mimi sifungamani na vyama vyovyote vya kale wala kisasa. Tumaini langu nikuona misingi ya haki, usawa, wajibu na heshima juu ya wengine ikiwepo imani za wahusika.

Nilifanya tempo Arsenal Digital under Wenger era Director of digital Clark aliamini usawa regardless of age, title, belief or whatever. Nafahamu Arsenal inside. Protocols and Chevcols, Arsenal ya Wenger na Gazidis was far better (Kama taasisi) tatizo limeanza after Edu appointee na kisha Arteta.

Arteta ajawahi kukurofishana na yeyote? Arteta amekwisha korofishana na wachezaji wanne Arsenal. Raul Matt alisuggest wachezaji wenye historia na kutumikia Arsenal wapewe Honor ni huyo huyo Arteta anakataa.
Tunashare mtazamo juu ya usawa na haki.

Xhaka wa Wenger alikua top kwa kutoa pasi ligi nzima.

Akawa flop. Akaonekana kabisa anakaribia kuondoka.

Arteta kufika tu akamuweka chini Xhaka na kumuomba asiondoke, hili alilisema Arteta na XhaKa alilisema pia.

Kisha Pepe amecheza sana hovyo. Nilipoint sana hilo, nikapoint anaweza change akiamua.

Akachange.

Nikapoint anastahili game time kwenye ligi. Ni kama nilishare mawazo na Arteta akampanga juzi na akapafom.

Ukitoka hapo kuna akademi players ambao ni waislamu.

Mshkaji wako Xhaka alikua aondoke but didnt kwavile aliombwa na Arteta, yet amekuvujishia hiyo ishu. Ungemuuliza kwanini hakuondoka.

Kisha kuna Elneny nilisema he is good, Arteta saw the same. Recently Elneny amekua siyo yule ninayeamini anatakiwa kua na kweli imekua ngumu kutoboa.

Akikaza anarudi tena.

My point ni kwamba performance matters.
 
Back
Top Bottom