Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe tutakuchapa goli za kutosha na kukupigia biriani la kiwango cha juu next round na hautoingia humu kwa aibu #Gunners for life
Kwa aseno hii sitegemei kutokea hayo.
Kwa hizi mechi tatu mfululizo? nakataa.
Kumbuka mechi zote hizo umecheza na vibonde.
 
Huwa tuna wadharau kipindi nyinyi muna kamia kama Juma.
Ila mechi hiyo tutawaonyesha kilicho mtoa kanga madoa.
Hivi hao wengine huwa mnawafungaje? mbona mkikutana na vidume Gunners hata pasi mbili mnashindwa kupiga
 
Huwa tuna wadharau kipindi nyinyi muna kamia kama Juma.
Ila mechi hiyo tutawaonyesha kilicho mtoa kanga madoa.
Kipindi cha fergie mlikuwa na tabia ya kukamia game za Arsenal, sasa mpira siku hizi umebadilika unachezwa kwenye Tactics,hata ukikamia bado tunakuexpose tu.
 
Mesut Özil muda wowote atajiunga na Fernabahçe. Fernabahçe wamesitisha mkataba na adidas na tayari muda mchache uliopita wamejiunga na Puma kwa lengo lakutengeza jezi ya Özil, Adidas na Özil hawaelewani lakini impact ya Özil kwa Fernabahçe inayopitia kipindi kigumu kiuchumi na chapa yake inamhitaji Özil kama alivyotanabaisha rais wa Fernabahçe Bw. Ali Koç.

Tayari rais Erdogan ameanza cataway maeneo ya mitaa yake ambayo amepakana na nyumba ya Özil iliyomalizika kujengwa hivi karibuni. Mitaa yote ya Instanbul inasubiri taarifa rasmi za nguli wa soka kijiunga na kucheza karibu na Samatta.
 
Kila la heri ngwiji wa Arsenal tutakukumbuka ila wewe nenda katusalimie Samatta mwambie uingereza kumekucha wanaume Arsenal wanapambana kwa nguvu kurudi kwenye nafasi yao ndani ya NNE bora ila wale waliotushikia nafasi yetu watupishe sasa warudi nafasi zao!!!
Always Gunners for life!!!
 
Laca alipungua makali msimu uliopita. Ilikua miyeyusho, mzito kwa kila kitu, kukaba, maamuzi, kushuti ilikua ni aibu kumtizama.

Msimu huu ameuanza same. Isipokua anascore ana uzito ule ule ila wakina Saka wanamforce katika baadhi ya mambo haswa maamuzi.

Laca wa msimu uliopita lile shuti alilopiga kwa Brighton ilikua ni mpira kupotea na asisogee kukaba. Hiki kitu nimeona kwa senior players wote.

Goli la Sala dhidi ya West Bromwich ni ushahidi.

Bellerin katoa pasi kwa Saka kisha hakufanya run kwenda mbele ingawa kulikua na nafasi badala yake akawa anarudi nyuma huku akiuomba tena. Means Saka angempa yangekua masihara ya siku zote.

Wakati Saka anapokea mpira pembeni unamuona Xhaka, Xhaka anaonyesha ishara ya kidole badala ya kutanuka na kusogea mbele ili agewe pasi.

Saka akatoa pasi kwa Emile na kufanya run ya kwenda mbele, hapo Xhaka bado kaganda na Bellerin yupo nyuma vilevile.
Emile akamrudishia Saka, kisha Emile akachomoka na kufanya run nyingine ya mbele.

Saka akampa Laca, Laca akatoa diagonal pasi ambayo ikakutana na Emile aliyekua amefanya hiyo run baada ya kumpa pasi Saka. Laca alivyotoa pasi akawa kama kasizi muda anasizi Saka akampita Laca fasta kwenda kwenye boks.

kisha Laca na yeye ndiyo akaanza kwenda mbele, hata hajafika mbali Emile alishatoa pasi kwa Saka na Saka akascore.

kubwa lao ni Auba. Hii movement yote inaendelea hata hakujaribu kujigusa kuingia kwenye box au kwenye 18 alikua mbali kabisa. A guy ameshangaa ile move ilivyokua goli limeingia akashangilia.

Yaani 4 seniors wameshindwa kubadilika. Kutofanya hizi runs ndiyo kumefanya Arsenal imiliki mpira ila scoreboard inatia aibu. Hizi runs za Emile ndiyo zilikosekana kikosi chetu.

Mimi nasema Guendouz arudi, akae pale mid game ambayo yeye, Saka, Tierney, Emile watakua pamoja halafu tuone fighting spirits zikiwa high kama kuna linaloshindikana
 
Hauwezi kucheza mpira kama riadha! Unahitaji wachezaji nane ndani ya box?, Ukiangalia wanaojumuika katika mashambulizi ni strikers, wingers na fullbacks/wingbacksm mostly nane na sita watabaki kulinda pengo kati na nyuma. Kwa striker kutojongea mbele kweli ni tatizo lakini kwa scenario hiyo kwa midfilder tena DMF kama Xhaka ni impossible (Huna Bellerin, Tierney, ESR, Saka, Lacazette na Ceballos/Elnely nyuma bado unahitaji kuacha watu wawili tu.

Wolves, Southampton, Sheffield, Leicester wametufunga kwa sababu hizi.
 
Waliscore wakicounter move au kona?

Mpira siyo riadha. 4 2 3 1 ina DMF wawili, DMF hua wana quality nyingine ya long range shot. Xhaka na Elnenny wanascore vizuri tu shots za hivi.

So mpira unaoenda mbele tarajio ni DMF kua nyuma ya move. Ikifanywa clearance ashuti, this guy alikua pembeni ya mwenye mpira, hakutafuta chumba kumpa mwenzake option wala hakufanya follow up ya move.

Leeds wanacheza 4 1 4 1 hua mpaka 6 kwenye final third ya mpinzani.
 
Arsenal team news: Gabriel Magalhães is feeling well. Only on the successful completion of protocols & medical checks will he be able to return to full training. Thomas Partey is now back in full training with the squad & will continue to work hard to establish match fitness.
 
Balogun always been open to stay at Arsenal... but he needs to play. This is the priority for Folarin and his agents. If he plays more, he'll be consider a new contract. If not, Balogun will decide among 15 clubs that approached him as free agent. Nothing done/signed yet

#AFC
 
Under 18s - 46 goals and assists in 41 games. Under 23s - 23 goals and assists in 41 games. First team - Three goals and assists in five games. 19-years-old. It is paramount that Arsenal Football Club keep Folarin Balogun. #AFC #COYGMy thoughts...

Back
Top Bottom