Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ewe mshabiki mwenzangu wa Arsenal punguza mihemko isiyo ya lazima.

Hatukupata ushindi mechi kama 7 hivi tukapoteana humu ndani, kushinda hizi mechi 3 ndio unaanza kuwaza ubingwa kweli!, hauwezi kuwa serious.
Gari limewaka, jiamini , This is Gunners
 
Genge la wahuni wa Man hamna uwezo wa kutufunga acheni kelele, tena nxt mechi ni Saka,rowe,Auba,martinelli yaani pale mbele ni show show bandika bandua
 
Huna timu ya kunifunga mimi wewee!
Ile mechi ya kwanza tunaweza sema "kunguru kanyea manati" hivyo usitegemee kujirudia.
Tuliza kipele wewe,subiri uje getoni emirates ushindiliwe za kutosha
 
Pambaneni musishuke daraja, acheni kuiwaza manchester united.
Genge la wahuni wa Man hamna uwezo wa kutufunga acheni kelele, tena nxt mechi ni Saka,rowe,Auba,martinelli yaani pale mbele ni show show bandika bandua
 
Kufikia January 5 tunaweza kuona Sead Kolasinac na Willy Saliba wametoka kwa mkopo, je kutakuwa na maingizo mapya kuziba nafasi zao au kuimalisha kikosi katika nafasi muhimu? Özil atarudishwa kundini?
 
Kwahiyo mkuu ulikua unangoja Livakuku afungwe ndio ufufue id yako hii?
Ila binafs nime furahi, maana tulimis sana tetesi za usajili za aseno.
Wewe tutakuchapa goli za kutosha na kukupigia biriani la kiwango cha juu next round na hautoingia humu kwa aibu #Gunners for life
 
Back
Top Bottom