Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu tuko pointi10 tu nyuma ya Looserfools wanaoongoza ligi. Makuhakikishia tusipochukua ubingwa tunamaliza ndani ya TOP4

#COYG
#COYG
Ewe mshabiki mwenzangu wa Arsenal punguza mihemko isiyo ya lazima.

Hatukupata ushindi mechi kama 7 hivi tukapoteana humu ndani, kushinda hizi mechi 3 ndio unaanza kuwaza ubingwa kweli!, hauwezi kuwa serious.
 
Ligi imeanza upyaaaaaaaa kila mmoja anakaa ktk eneo lake
 
Partey amepona.

Next week ni versus Palace.

Mid yetu itakua even stronge.

Palace tutauana
 
Games tano za ligi zinazofuata.

vs Crystal Palace

vs Southampton

vs New Castle

vs Man United

vs Wolves
Sawa gemu tano zinazofuata sasa hujatuambia kati ya hizo gemu tano za nyumbani ni zipi na ugenini!!
Ni hayo mkuu!!
Nawakilisha hoja hewani.
 
Sawa gemu tano zinazofuata sasa hujatuambia kati ya hizo gemu tano za nyumbani ni zipi na ugenini!!
Ni hayo mkuu!!
Nawakilisha hoja hewani.
Bila kujali nyumbani au ugenini kwenye hizo mechi tano angalau tunatakiwa kupata alama 10 ili kujiondoa huku tulipo.

Tushinde mechi tatu,sare moja,na kupoteza moja.pungufu ya alama 10 bado tutakua kwenye hali sio ya kuridhisha ikiwa wenzetu watafanya vizuri kwenye mechi zao.
 
Kuna wengine hawakimbii bali huja na id zingine.
Mfano AronArsenal, nahisi ndio huyu Castr.
Wakuu mnaenda kasi sana, take one game at a time. Tukipigwa hapa tunapoteana wote humu. Kushinda mechi tatu kusifanye tukajisahau...
 
Arsenal musha sahau mulipo toka na sasa mumeanza dharau.
Kuna wengine mulikimbia kabisaaa.
Nawaambia hivi, hizo mechi tatu mulizo fululiza kushinda zisiwape kiburi.
 
Arsenal musha sahau mulipo toka na sasa mumeanza dharau.
Kuna wengine mulikimbia kabisaaa.
Nawaambia hivi, hizo mechi tatu mulizo fululiza kushinda zisiwape kiburi.
Tuache na timu yetu. Kapambane na mzigo wako huko

#COYG
#COYG
 
Tatizo lako hauchelewi kukimbia humu.
Humu namkubali castr yeye sio shabiki sambusa kama wewe na genge lako la kinaa Dully Jr.
Tuliza kipele wewe,subiri uje getoni emirates ushindiliwe za kutosha
 
Back
Top Bottom