Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukiongelea traits na workrate za AM za anavyotakiwa kua kuna wachezaji mi naamini wanaweza kucheza pale kwenye AM wa kwanza ni Pepe halafu mwingine ni Willian.

Ila tukitumia 4 2 3 1 kisha Pepe akakaa kama AM hapo maana yake RW mwenye domination ya mguu wa kushoto tunakosa, sikumbuki kama tuna foward Left footed mwingine zaidi ya Saka na Pepe. So tutalazimisha right footer wawe LW na RW.

Kingine mi niliwahi kusema kua timu yetu inamiliki mpira ila kuscore ndiyo tatizo, na hiyo ni kwavile wachezaji walikua hawaendi mbele, yaani unaona back passes nyingi kuliko forward passes. Mechi ya leo asipocheza Emile angalau tutaona timu sasa hivi ina akili gani.
Mmmmh sawa mkuu!!!
 
Hapa nakubaliana wewe kabisa. Tena Pepe anacheza vizuri hiyo nafasi. Kuna mechi fulani niliona Arteta kamchezesha Pepe AM, jamaa alisumbua sana pale mbele siku hiyo na kusema kweli mi niliona alicheza vizuri kuliko akitokea pembeni
 
Arsenal will need to pay at least £25million to land Norwich City star Emi Buendia in the January transfer window, according to Eurosport

Recent reports claimed Norwich would accept a fee in the region of £15million for Buendia - but it seems the Canaries will hold out for a much higher fee.

The player has picked up seven goals and seven assists in the Championship this season.
 
Mhhh, hamna lolote.
Kombe la kuku na mchele kilo 5 ndio linichanie msuli wangu?
Njoo kule tarehe 17 kama hajarudi bila meno ya mbele.
Hani nyie manyumbu mkiwavaa looserfools mutakuwa mumetisha kinoma, maan tunajua kabisa ninyi hamfiki popote ..pogeni zile mitetea tu halafu baad ya hapo mkae kwa kutulia..
 
Hearing that it's a front three of Martinelli, Auba and Pepe today. Confirmed team to come in 25 minutes
 
Urgent: The OneUnity Foundation, whose founding partner is Masoud Ozil, announces in a brief statement on its Twitter account that the player has moved to Fenerbahce, Turkey.
 
The OneUnity Foundation, whose founding partner is Mr M Ozil announces the transfer #arsenal #afc
Quote Tweet

VB552M-R_normal.jpg

OneUnity

@OneUnity

We at @OneUnity are proud to announce that Mesut Özil will be moving to @Fenerbahce_EN. More to come.
 
Seven changes from West Brom...

Cedric and David Luiz start

Elneny partners Willock

Nico, Willian, Gabi, Auba in attacking
 
Back
Top Bottom