Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuendelee kuomba Arse8 isishuke daraja.
JamiiForums-728055021.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wazee hawa watoto Martinelli na wenzake wanautaka mbaya, bora Arteta adrop wazee asajili watoto wengine wakali,Nipo group moja la Gunners watu wanatukana Nelson kuumia paka sio poa.
#Gunners for life
 
Wazee hawa watoto Martinelli na wenzake wanautaka mbaya, bora Arteta adrop wazee asajili watoto wengine wakali,Nipo group moja la Gunners watu wanatukana Nelson kuumia paka sio poa.
#Gunners for life
Alex Lacazette on the youngsters playing behind him: “They make me feel old!” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
UNITED LEVEL WITH LIVERPOOL AT THE TOP OF THE TABLE..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20210102-005830_All%20Goals.jpg
 
Ma Arse8 na ma cheltako mpoo, nawasalimu [emoji112][emoji112][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yapoo mautopolooo hayaa... Arsenal sio timu ya kushabikiaaa ni wendawazimi tu unawasumbua vijana wa siku hizii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuelekea game yetu na West Bromwich.

Wiki moja nyuma Betpawa walikua wameipa WB odds zinazokaribiana na Arsenal kwa WB kugewa odds 2.95 na Arsenal 2.50 hiyo ilikua hata baada ya kuifunga chelsea.

Jana Arsenal alikua kashushiwa odds huku WB akiwa na odds 6.00 na Arsenal akiwa na 1.69 na odd ya Arsenal ikiwa hot kwa watu wengi kuibetia. Yaani ni kwamba majority wana imani na Arsenal ya sasa.

Sofascore inasema watu 14,000 wanasema Arsenal itashinda, 2000 wanasema WB itashinda na 3000 wanasema hii mechi ni suluhu. Hii ni trust kubwa kwa timu iliyotoka kusuluhu na former champion.

Mpaka muda huu hatuna injury katika kikosi kilichoanza games mbili za nyuma hivyo possible line up ni ile ile. Usimuwazie luiz kwakua ana bifu na Arteta so kugewa namba ni ngumu, Willian kwa sasa ameonekana hana anachotakiwa kua nacho na Magalhaes ana corona hivyo Mari na Holding kama kawaida. Na kila mtu atakua anapokua.

Natamani Pepe na Ceballos wangekuepo ila katika mpira kuna kanuni inasema "Dont change your winning team' ndiyo unamuona Klopp anazunguka na watu walewale

Kwa kawaida WB hucheza 4 5 1 siku anapigwa na leeds alijaribu 4 1 4 1 yaani alienda kucheza formation ya wakina leeds huku anakutana na leeds so uwezekano wa kurudia formation yake ni mkubwa.

Akirudia formation yake tunachotakiwa kuhofia ni counter na krosi. Grant ni wa kuchungwa. Viungo wao Sawyers na Gallagher ni wazuri pia timu inapoamua kupaki basi. Beki yao kwa ujumla ni nzuri, ambaye atatupa advantage ni kipa wao.

Kipa wa WB ni mbovu kwa sasa. So ni juu ya Arsenal kuhakikisha wanashut na kushuti as kipa will give in sooner or later.

WB kasuluhu na City pia kabla ya Liva so hua anakamia games na vigogo naamini tutajitahidi kuwadisappoint.
 
Yapoo mautopolooo hayaa... Arsenal sio timu ya kushabikiaaa ni wendawazimi tu unawasumbua vijana wa siku hizii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuandika we nyumbu
 
Mpango mkuu january hii ni kupunguza watu. Kikosi kimevimba ila ni watu wachache wana namba na hapo hapo wage bill ni kubwa.

Arteta anasema kutokana na hilo ilibidi Sokratis na Ozil wasijumuishwe kwenye kikosi. Ili kuepuka hilo wameanza kurelease watu tayari Kolasinac kaenda Schalke huku ikitarajiwa Sokratis afuatie.

So far hakuna ripoti ya Arsenal kupeleka ofa kokote tho leo ndiyo dirisha limefunguliwa.
 
Yeah ni vizuri kupunguza dead woods na kupunguza wage bills ili kuleta watu watakaokuwa more efficient kwenye timu.
 
Mpango mkuu january hii ni kupunguza watu. Kikosi kimevimba ila ni watu wachache wana namba na hapo hapo wage bill ni kubwa.

Arteta anasema kutokana na hilo ilibidi Sokratis na Ozil wasijumuishwe kwenye kikosi. Ili kuepuka hilo wameanza kurelease watu tayari Kolasinac kaenda Schalke huku ikitarajiwa Sokratis afuatie.

So far hakuna ripoti ya Arsenal kupeleka ofa kokote tho leo ndiyo dirisha limefunguliwa.
Kolasinac kaenda Schalke 04 kwa mkopo wa msimu bakia, anao mkataba Arsenal hadi July 2022.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom