Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

jf naomba tuutambe UZOEFU NA UBOBEVU WA HALI YA JUU WA KIUANDAMIZI wa Castr na@computerasernal katika kuishabikia timu ya Asernal iwe ,iwe .

Aaron Asernal na Dully jr na njie mkue sasa.
Ila kwa castr nahisi uvumilivu umeshaanza kumshinda, maana sikuhizi haishiwi visingizio.
Kaja na gea ya safari, kwamba yuko safarini na aliko hakuna network.
 
insta_2470068956585584310.jpeg
 
Hii timu sasa tunamwachia Mungu tu, kama aliweza kuwavusha wana wa Israel kutoka Misri hadi mji wa ahadi Kaanan basi nasi kipindi hiki atatuvusha tu.

Timu inatupa pressure kila siku, isije kutuuwa bure😭😭😭
 
Tukiendelea kumchekea huyu Arteta lazima tushuke daraja.

Body ya Arsenal pamoja na mmiliki wameamua kutuharibia timu kwa kumleta kocha wa majaribio aje ajifunzie kazi kwetu.

Kwa mwendo huu wa timu yetu nitaendelea kulipia DSTV ili kuangalia mielekea na sio EPL hadi Arteta atakapo timuliwa.😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom