Ubize mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona huonekani tena jukwaani mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
All goalsHii ni app gani
We jamaa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hujui maana ya "BONDE LA UVULI WA MAUTI" linaloongelewa kwenye Zaburi 23 waulize washabiki wa hiki kigenge
Waonee huruma bhanaaaa! Angalau game na Chelsea tuwaunge mkono.haya ni jumanne nyingine arsenal anakutana na man city kwenye carabao cup, muda ni saa 5:00 usiku
😀 😳😳😀
aisee mtapigwa kipande mpaka akili iwakae vizuri
Nyny mnacho kiona nyny ku switch tu.ple muhimu kusajil wachez bila ya hivy koch yyet atake kuja ple kaz itakuwa ileileNafikiri tuswitch kutoka 3 4 3 mpaka 3 4 1 2.
Pepe awe hiyo 1 au kwenye 2 awe ni left striker. Akiwa 1 hii 2 wawe Auba na Laca kisha kwingine kubaki kama kulivyo.
3 4 3 imetuonyesha tunaweza miliki mpira ila hatuwezi kupenya ndani kwa wapinzani. 3 4 1 2 itawapa options hawa forwards ama kucheza one two au mmoja (pepe) awadrag opponents mpaka ndani.
Tunahitaji magoli tusiutanue sana uwanja tushaona tukiutanua hatuna uwezo wa kuubana. So tuubane tu by default.
Kazhp huy ndo anakuj arsenal
We na we. Sasa hiyo option ya kuswitch si ya kusubiri usajili ufikeNyny mnacho kiona nyny ku switch tu.ple muhimu kusajil wachez bila ya hivy koch yyet atake kuja ple kaz itakuwa ileile