Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu YETU hii, yaani siku hizi hakuna mechi ambayo tunaweza kucheza huku wewe mmshabiki na Matumaini ya kupata points tatu.... Yaani

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hii timu YETU hii, yaani siku hizi hakuna mechi ambayo tunaweza kucheza huku wewe mmshabiki na Matumaini ya kupata points tatu.... Yaani

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi mechi za Arsenal inabidi uangalie nyumbani pekee yako. Honestly I don't believe Arteta has anything left to change the team, he has already exhausted his tactics still we are where we are, certainly dropping further in days to come. No creativity, no discipline, no confidence. Bado Arteta ana sababu ya kuendelea kuwapo?
 
.....
 
Mashabiki wa Arsenal inabidi mjipange mapema kwa yafuatayo:
-Gharama za bundle maana championship mechi zao hazipo DSTV
-Kurudia topiki ya herufi na silabi maana kule majina ya timu ni magumu kutamkika
Mwisho kabisa chezeni tu mkamilishe ratiba muwaachie ligi yao muende kwenu.
 
Mkuu hufai kabisa kumuuguza Mgonjwa!
😀 😀
 
Nipo Soliwaya. Mbele ya Makambako. Nikitaka kulima avocado niandae shilingi ngapi
Itabidi nikupitie hapo siku naenda Igombola ili nikupe moyo uendelee kuwa na uvumilivu [emoji23]
 
Kila kocha anayo tafsiri yake ya kila kitu. Jifunzeni kwa Looserpool na City. Pep ndiye aliyeamua wabaki nani na nani; D. Silva, Aguero, Company, Otamendi, Fernandinyo. Wengine wote timua. Unadhani wamiliki wa City hawakujua kuwa kikosi chao cha akina Toure kilikuwa kikali. Walijua ila wanajua pia kuwa kila kocha anayo tafsiri yake ya kikosi kikali.
 
MKUU ACHA UONGO HAYO MANENO "timu ina kila kitu" YAFUTE HARAKA! YAANI SAKA,PEPE,CEBA,NKETIAH,LACA NDIO KILA KITU!!![emoji23][emoji23] KWELI MAAJABU HAYAISHI DUNIA HII.
Umeona eee,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…