Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mh we jamaa subiri uone
 
Spurs are specialist in what , do u remember the last time ur time won a trophy.
Spurs are specialists in planning.

Miaka kadhaa iliyopita ENIC na Levy walitake over Spurs kwa £27m. Taratibu wakaanza kuimprove kikosi kwa kukuza z wachezaji wachanga na kuwauza kwa bei kubwa; Bale, Modric, Carrick, Barbetov, etc

Mauzo yakawa reinvested kwa wachezaji wengine wazuri akina Kane, Son, Dier, etc na mkakati ukawa kutokuwauza ili kupisha uwekezaji kwenye miundombinu ya msingi (kiwanja bora zaidi cha michezo Ulaya kwa sasa).

Project ya miundombinu ilipo-almost kamilika sasa tumegeukia uwanjani. Akaajiriwa kocha anayeendana na kinachotakiwa sasa (vikombe). Sasa hivi sisi ndiyo washindani wakuu wa ubingwa: Ni suala la Liva vs Spurs msimu huu.
 
Mapema mwanzo wa msimu nilisema #ArtetaOut nikaulizwa unahitaji kocha yupi?

Jana baada ya masaa mawili after Granit red card nilichat naye na alisema hamuitaji Arteta maana hana equality baina ya wachezaji.

Arteta alimuacha Özil mwenye watu sita nyuma yake.

Bado mnategemea kupata matokeo chini ya Arteta na genge lake?
 
Mzee umekula Maharage ya wapi?

1 ziyech = 8 Willan + 25 pepe
1 Werner = 40 Lacazette
1 Kante = 10 Partey + 20 Xhaka
1 James = 20 Hector
1 Kovacic = 100 Mo
50 Abraham = 1 Auba
1 Thiago = 20 Luiz + 150 Mustafi
Sawa chief, hongera kwa kuwa na kikosi bora
 
Siku ile tunakupiga FA ile ilikua Arsenal ya kuungwa ungwa kwahiyo tulia hapohapo uone utakachojipatia
Sasa kwani mi nilikua mzima? , Hakuna asiyejua ila mechi mlikamia ili mpate nafasi UL. Yan we unifunge na Chelsea hii ndio maana nasema ni ndoto za alinacha
 
Mods piga ban hii raia..

Arsenal ana kikosi kizuri kushinda United?..
 
kuna watu mna roho ngum dunian yan we Burnley akufunge uje ujifananishe kikos chako na chelsea akat ungepaswa useme una kikos kizur kuliko Sheffield kwasababu yuko chin yako
 
Hatuna timu, narudia tena hakuna timu, whether ni kocha au wachezaji Ila timu hakuna. Drastic measures are needed, otherwise we're relegated!
 
Aiseeeeee
 
Arsenal wanamlaumu Ole kwa kuvurunda kwa timu yao
 
kuna watu mna roho ngum dunian yan we Burnley akufunge uje ujifananishe kikos chako na chelsea akat ungepaswa useme una kikos kizur kuliko Sheffield kwasababu yuko chin yako
Kikosi cha Arsenal ni kizuri Mkuu, kuna mapungufu kidogo Sana ambayo yanalekebishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…