Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi niliamini hivi
Screenshot_20201207-104122.jpg

Na bado naamini hivyo. Hizi short term tournaments timu yeyote inaweza shinda. Tottenham alipigwa na Royal antwerp akasuluhu 3 3 na ludogorets.

Kuna andazi linasema Arsenal kacheza na kindergarten. Maajabu yake anayemuamini kuchukua kombe alipigwa na kusuluhu na hao kindergarten.

Fungua akaunti ya youtube ya komedi upige pesa
 
Vs Chelsea 2 - 0 na Leicester 3 - 0.

Next Wednesday tunaye Tottenham, tutashinda pia.
Ile game ya Chelsea cjui tulifeli wapi maana ilikuwa na bahati sana...Werner alikosa goli kipindi cha kwanza....red card ikatuzingua....kepa na tomori wakawazawadia goli LA pili ....Werner akasababisha penalty tukakosa......Leicester pia KWA kikosi chetu tunamfunga nasubiri hyo game yenu na spurs mnayosema mtashinda........nb tulivyomfunga Leeds goli 3-1 Patrick bamford alisema KWA timu kubwa walizokutana nazo Chelsea ndo walikuwa wagumu si city c liver.....hyo ni dalili tosha
 
Vs Liverpool Leeds walipoteza 3 points, na dhidi yenu vilevile walipoteza.

Kwa City ana haki ya kuongea maana walitoa sare.

December na January ina burudani za kutosha, tutaona itakavyokuwa.
 
Mkuu wapi uliandika kwa Uingereza?

Sorry, nimevamia huu mjadala wenu, lakini as long as ni open discussion, nadhani sijakosea.
Acha kupoteza brain cells kwa huyu dogo, Yuko hapa kwa ajili ya kubisha na sio kuelewa.

Yaani pamoja na kumwekea mfano wa hai wa Marcelo Bielsa hapo bado anakwambia huo sio utaratibu kwa uingereza. Mtu Kama huyu kuendelea ku-exchange words na yeye ni kupoteza brain cells
 
18 points out of 18 ni mileage, regardless ya nani uko naye kwenye kundi.

Hii inawapa morale wachezaji, kuna wakati hizi game zinabebwa na confidence waliyonayo wachezaji kwenye ligi husika.

Of course hatua zinazofata ni ngumu, maana kuna Man Utd, Tottenham, Leicester, then uje Ajax, Roma, Napoli, AC Milan na Sevilla.

Mashindano yatakuwa magumu hasa kuanzia kwenye best 8.
Kweli mazee 18 out of 18 it's huge milestone hasa kwa timu inayosuasua kwenye ligi ya ndani inaonesha jinsi gani tuko serious na hii michuano.

Natamani u-serious huu tuendelee nao hivi hivi mpaka hatua za huko mbele mbele, kwani hata wapinzani wenyewe itakuwa inawapa hofu kidogo na hii itakuwa ni advantage kwetu.

Hata Mimi naona best 8 ndio kutakuwepo na mziki mnene.

Halafu Sevilla nafikiri amefuzu kwenda 16 UCL.
 
Sevilla kasonga mbele.

Inter kashindwa kuja Europa.

Hizi timu zilikutana fainali Europa last season.
 
Acha kupoteza brain cells kwa huyu dogo, Yuko hapa kwa ajili ya kubisha na sio kuelewa.

Yaani pamoja na kumwekea mfano wa hai wa Marcelo Bielsa hapo bado anakwambia huo sio utaratibu kwa uingereza. Mtu Kama huyu kuendelea ku-exchange words na yeye ni kupoteza brain cells
Kocha wa Leipzig hutangaza kikosi chake dakika 45 kabla ya mechi anasema hua anafanya hivyo ili kumfanya kila mchezaji awe focused na mazoezi kwa kutarajia kuingizwa kwenye starting XI.

Baadhi ya timu unajua kabisa first XI lije jua ije mvua labda mchezaji aumie.
 
Sevilla kasonga mbele.

Inter kashindwa kuja Europa.

Hizi timu zilikutana fainali Europa last season.
So michuano ya mwaka huu haiwahusu.

Lakini bhana Mimi naona hii timu yetu hii bora kipaumbele kikuu tukielekezew huku tu, hizo FA na taka taka zingine tuachane nazo sitaki kuitaja PL maana ile hata kabla msimu haujaanza ilikuwa haituhusu.
 
Kweli mazee 18 out of 18 it's huge milestone hasa kwa timu inayosuasua kwenye ligi ya ndani inaonesha jinsi gani tuko serious na hii michuano.

Natamani u-serious huu tuendelee nao hivi hivi mpaka hatua za huko mbele mbele, kwani hata wapinzani wenyewe itakuwa inawapa hofu kidogo na hii itakuwa ni advantage kwetu.

Hata Mimi naona best 8 ndio kutakuwepo na mziki mnene.

Halafu Sevilla nafikiri amefuzu kwenda 16 UCL.

Yes, Sevilla amefuzu.

Nadhani Monday baada ya draw tutapata at least kupata picha Feb itaanzaje mitoano.
 
Kocha wa Leipzig hutangaza kikosi chake dakika 45 kabla ya mechi anasema hua anafanya hivyo ili kumfanya kila mchezaji awe focused na mazoezi kwa kutarajia kuingizwa kwenye starting XI.

Baadhi ya timu unajua kabisa first XI lije jua ije mvua labda mchezaji aumie.
Hili suala ni utashi tu wa kocha mwenyewe
 
So michuano ya mwaka huu haiwahusu.

Lakini bhana Mimi naona hii timu yetu hii bora kipaumbele kikuu tukielekezew huku tu, hizo FA na taka taka zingine tuachane nazo sitaki kuitaja PL maana ile hata kabla msimu haujaanza ilikuwa haituhusu.
Hata mimi naona hivyo ingawa kocha kasema kila kombe atalitolea macho.
 
Baadhi ya potential opponents wa Liverpool ni Barcelona,RB Leipzig na Atletico Madrid.

Ila majeruhi wenu baadhi watakuwa wamerudi.

Mwaka jana tulitolewa na Atletico Madrid hatua kama hii, I was so confident kabla ya kukutana nao.

This time, I take it game by game, maana lile somo la mwaka jana nililielewa.
 
Ile game ya Chelsea cjui tulifeli wapi maana ilikuwa na bahati sana...Werner alikosa goli kipindi cha kwanza....red card ikatuzingua....kepa na tomori wakawazawadia goli LA pili ....Werner akasababisha penalty tukakosa......Leicester pia KWA kikosi chetu tunamfunga nasubiri hyo game yenu na spurs mnayosema mtashinda........nb tulivyomfunga Leeds goli 3-1 Patrick bamford alisema KWA timu kubwa walizokutana nazo Chelsea ndo walikuwa wagumu si city c liver.....hyo ni dalili tosha
Hao wagumu wamepigwa na liver na huyo leeds kapigwa, cha msingi unashindana nae kupata ubingwa hakikisha unamdunda
 
Back
Top Bottom