Kuna watu wanakuja na rekodi za mechi za kumfananisha Emery na Arteta.
Tukumbushane;
Msimu wa mwisho wa Emery ilikua tunahitaji points chache tu katika mechi nne zilizobaki ili tuwe ndani ya top four.
Kama kuna anayekumbuka atasema kama hizo mechi ilitakiwa tukutane na timu za aina gani.
Hizo mechi zilizobaki tulihitaji ushindi wa games mbili ili kuingia top four. Surprisingly tukajikuta tupo hata nje ya kushiriki Europa.
Chansi tuliyobakisha ilikua ya FA ambayo tulikua tunakutana na Chelsea hawa Chelsea tulikutana nao fainali ya Europa chini ya Emery na wakatufunga nne bila.
So mashabiki wengi tulijua hiyo FA haituhusu. Kisha Emery akaondoka, akaja Ljungberg kisha akaja Arteta tukaenda fainali FA chini ya Arteta.
Tukashinda.
Tukasecure nafasi ya kwenda Europa.
Winning FA means unatakiwa ucheze na bingwa wa ligi kwenye ngao ya hisani. Kwakua bingwa ni Liva Arsenal tukawa tunaenda kugombea hii trophy na Liva.
Henderson (ni yeye ama Shaqiri sikumbuki vizuri) soon baada ya kujua wanakutana na Arsenal akatweet tweet yenye maneno kama haya "We will be the first team to win silver"
Liva knew inakuja kuchukua silva, under Arteta wakakutana na surprise kazi ikaishia pale.
Anyway nilitakiwa niishie pale Emery aliposhindwa kusecure nafasi ya nne huku kabakiwa na mechi nne na alihitji kushinda mbili tu na poor performance ya Europa.