Unamaanisha tangu wiki iliyopita?Tangu iwe kubwa hakuna timu ya London imetwaa kombe lolote la maana.
Unamaanisha tangu wiki iliyopita?Tangu iwe kubwa hakuna timu ya London imetwaa kombe lolote la maana.
Tottenham ina miaka 80 haijachukua kombe lolote.London ni nyeupe ujue![]()
Group BDuh!
Mkuu upo?? Kitambo sanaaaaa
Tangu lini???London ni nyeupe ujue![]()
Kelele gani sasa hapo. Kuwa mkubwa haijalishi msururu ulio nyuma. Ngojea Jumapili utaniambia nani mkubwa. Spurs ni underrated. Niliwaambia wakati wa usajili hamkuamini sasa msubiri kuona tukinyanyua ndoo.Tottenham ina miaka 80 haijachukua kombe lolote.
Hata uzi wenu mara ya mwisho kuchangiwa ni 2012. Uzi una replies nne.
Wewe upo hapa kupiga hizi kelele.
Hiyo timu yenu sasa hivi ni historia tu. Ni kama tu zilivyo AC Milan na United. Hizi ni zama mpya na vitabu vipya.Tangu lini???
Hata machesi yalianzaga hivi hivi, London is blue...London is blue, yalivyobahatishaga kale ka UCL ndio kabisaa yakaanza kujita eti wao ndio wafalme wa london, na wakati timu ya Kwanza kabisa kuleta heshima ya mataji London inajulikana kabisa ni timu gani.
Kuna kombe lolote kubwa mmtwaa hivi karibuni?Unamaanisha tangu wiki iliyopita?
Isingekuwa Lo Celso na bangi zake siku ile dk ya mwisho ogonvi ningewaachia nyinyi. Sasa makali yamepungua maana sare kwetu ilikuwa sawa na kipigo. Hata Jose alisema baada ya mchezo kuwa wachezaji wana huzuni kutoshinda ule mchezo.Haya Tot nae anatamba ni mkubwa London.Arsenal malizaneni nae. Maana ugomvi wa watoto mkubwa anakuja kusuluhisha tu.
Amueni wenyewe nani mkubwa kati yenu siyo London maana mtaanza kumkosea heshima kaka yenu![]()
Ile game hata irudiwe kesho hamuwezi kushinda zaidi nakuja kukubebesha kapu la magoli hapo kwako marudiano. Mou kocha mweupe sana.Isingekuwa Lo Celso na bangi zake siku ile dk ya mwisho ogonvi ningewaachia nyinyi. Sasa makali yamepungua maana sare kwetu ilikuwa sawa na kipigo. Hata Jose alisema baada ya mchezo kuwa wachezaji wana huzuni kutoshinda ule mchezo.
Angekuwa kocha wa kawaida ile game yenu tungepigwa goli nyingi sana. Sema kwa kuwa gwiji anajua ndiyo sababu aliweza kuwakontein. Yaani unacheza na timu inakushambulia na Werner/Tammy/Ziyech/Mount! Baadae wanaingia Kai/Pulisic/Giroud!Ile game hata irudiwe kesho hamuwezi kushinda zaidi nakuja kukubebesha kapu la magoli hapo kwako marudiano. Mou kocha mweupe sana.
Angefunguka sasa kama alikuwa hataki sareIsingekuwa Lo Celso na bangi zake siku ile dk ya mwisho ogonvi ningewaachia nyinyi. Sasa makali yamepungua maana sare kwetu ilikuwa sawa na kipigo. Hata Jose alisema baada ya mchezo kuwa wachezaji wana huzuni kutoshinda ule mchezo.
Wewe kwa miaka 80 iliyopita umetwaa kombe gani?Kuna kombe lolote kubwa mmtwaa hivi karibuni?
So mtakuja na Mourinho Ilala ili kunyanyua ndoo za maji kwenye foleni ya bomba la kwa mwarabu?Kelele gani sasa hapo. Kuwa mkubwa haijalishi msururu ulio nyuma. Ngojea Jumapili utaniambia nani mkubwa. Spurs ni underrated. Niliwaambia wakati wa usajili hamkuamini sasa msubiri kuona tukinyanyua ndoo.
Wewe kwetu ni kibonde acha kelele,kwa mataji ntakuonea, fanya tu head 2 head basi inatoshaKuna kombe lolote kubwa mmtwaa hivi karibuni?
Pierre-Emerick Aubameyang to score first, hii ndo bet yangu weekend hii![]()
Acha matusi mkuu, hayawezi kukusaidia chochoteMhindi atakukula mpka kinyeo