Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Hii timu ni kichwa cha mwenda wazimu!!
PS: Hivi Ozil mmempeleka wapi?
PS: Hivi Ozil mmempeleka wapi?
Kwel kabisaPartey atarudi January baada ya kufanyiwa vipimo imeonekana hvyo!No partey No party
Pesa zipi??Mm naona arteta ana pewa lawam za bure lkina kma angepewa pesa asajil kuna ki2 tungekipat kutk kwak
Kwani partey kapona?Tuko vibaya
Hali ni mbaya sana. Ukweli usemwe tusidanganyane humu.
Mna hela nyie mabahili wa jiji la London? Mnapenda kusajili wachezaji waliomaliza mikataba. Hiyo ndiyo shida yake.Mm naona arteta ana pewa lawam za bure lkina kma angepewa pesa asajil kuna ki2 tungekipat kutk kwak
Tuko vibaya
Hali ni mbaya sana. Ukweli usemwe tusidanganyane humu.
Kabisa mkuu. Sisi tulikua tunajadiliana kiustaarabu kwa kutoa points zetu yeye sjui akatokea wapi akatema shudu. Nikamuangalia nikauma kidole nikasema your time is coming, young manEish kumbe ulikua unamvutia muda tu ili ufanye comeback?
Muko vizuri tu na muna kila dalili za kuchukua ubingwa wa EPL.Tuko vibaya
Hali ni mbaya sana. Ukweli usemwe tusidanganyane humu.
Wallah husemi uongo, Welcome back! Mungu akuwezeshe ufike salama.Bro nakuja Monday mzigo wako tufanye uje uchkue
Au nasema uongo ndugu yangu???



Acha matusi kijana!! Huu ni mchezo tu vuta subra!!Arteta akiendelea kuwa kocha mnashuka daraja nyie mapunga fc
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app