Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20201129-230530_All%20Goals.jpg
 
Gunners wenzangu kwa sasa Arteta afukuzwe tupate kocha mpya wa kiwango cha dunia wakati anakuja ni kama alileta morari but mnaona kiwango cha Arsenal cha sasa kilivyo kinasikitisha mno Arsenal timu ina struggle ni miaka zaidi ya 30 haijawah kuwa na kiwango hiki hata Unai tuliyemtukana hakuwa hivi akistruggle Arteta asimalize wiki hii afukuzwe na it was very bad kumpa cheo cha Manager ,nipo na demu wangu anaangalia tamthilia za kifilipino mimi nimejiunga na livescore sitaki presha na nilisema mechi sitaangalia live kamwe mpaka Arteta aondoke
Arsenal inahitaji kocha wa dunia mwenye mbinu zake na kwa akili ya kawaida unategemea kwa mpira huu tunaocheza namba10 ni Willock next week una Bale Son and Kane kwa akili ya kawaida unategemea Arsenal atapata point hata 1?never on earth
 
Mkuu unaangalia au huangalii sasa???
 
Mkuu unaangalia au huangalii sasa???
Nilisema asubuhi mechi za Arsenal sitaangalia live ila napata livescore nimemuachia demu wangu anaangalia tamthilia nkiingia livescore napata matokeo na kwa sasa Arteta afukuzwe mapema Big team kama Arsenal inagombania kushuka Daraja?aibu hii itatuliwe mapema kwa Arteta kufurumushwa Arsenal msimu huu ni mechi 1 pekee dhidi ya Fulham ndo alicheza vizuri 8 zilizobakia plus ya leo ni useless
 
Niliona mkuu. Anyway wacha Sisi tuangalie
 
Back
Top Bottom