Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Namuomba Mungu asaidie Arsenal apigwe mabao 4 na timu ya Wolves.
😃😃😃😃😃Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye
Habari za jioni ndugu zangu wana MMU. Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani. Hivyo basi, kutokana na hizo sifa hapo zilizotajwa hapo juu napenda kuwataarifu kwamba nahitaji rafiki wa kike ambaye siku za mbeleni...www.jamiiforums.com
Unamaanisha Nini mkuu?Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye
Habari za jioni ndugu zangu wana MMU. Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani. Hivyo basi, kutokana na hizo sifa hapo zilizotajwa hapo juu napenda kuwataarifu kwamba nahitaji rafiki wa kike ambaye siku za mbeleni...www.jamiiforums.com
unaona raha siyo?😃😃😃😃😃