Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wajuba wameikimbia nyumba yao.
Dully Jr namuona anachungulia kwa mbali.
 
TAKATAKA kama TAKATAKA [emoji23]
IMG-20201109-WA0000.jpeg
 
Vile Willian ananifurahisha hasa nikikumbuka mara ya kwanza anahojiwa akiwa kama mchezaji wa Asenane, eti amekuja kushinda kombe la UEFA akiwa Asenane wakati huohuo wanashiriki ueropa [emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1603054978299.jpeg
 
Master nimekuelewa sana.

Unaelewa vizuri soka.

Sio jamaa zangu fulani fulani wanajifanya kuchambua kwa kiingereza ukipitia chambuzi zao zote hukuti la maana
Alafu sijui nani kawaambia wakichambua kwa kiswanglish ndio wataonekana wanajua[emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katabia kapo sana kule jukwaa la liverpool hasa wakiwa wamefungwa[emoji15]utapigiwa ngeli ya mataputapu mpaka kichwa kikuume,
 
Asenane 4 Aston Villa 3
Magoli ya Asenane yamefungwa na
DullyJr
[USER=9087] WillyJr
[USER=236445]Aaron Arsenal

Papaa Gx [emoji23]
Mikel Arteta on Willian:

"I can see a development in the last two games. The understanding of things I ask them to do is probably different to what he's used to, but he's getting better and better."

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom