kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 607
- 488
Kwa mm naona huuu mfumo wa 3-4-3 una2faa 7babu jpo 2nashambuliwa lkin mech nyng tena big mech ume2pa faida hivy nia sahh kwa artet kuu2mia had pale itakp patik nmb10 kule juuGame hizi mbili timu imecheza vizuri sana, tena away akiwa na 4-3-3,timu ilionesha uhai mkubwa katika maeneo yote matatu, ulinzi, kiungo na ushambuliaji
Nakumbuka game ya City mlaka Pep aliingiza mabeki kuja kjlinda kale kagoli,
Game dhidi ya manyumbu kila mtu anajua kilichotokea, ninachojiuliza kwanini Arteta anakomaa na huu mfumo wa 3-4-3 hasa timu ikicheza home? Kwann asikomae na hii 4-3-3 ambayo inaonesha uhai kwetuView attachment 1623926View attachment 1623930
