Haijawah kutokea kwa Wenger na Unai (tuliyemtukana)mechi 8 tumeshapoteza 4 je katika 38 tutapoteza ngapi?kwa mpira huu narudia na December ndo inakuja Arteta hatamaliza mwaka may be board ione aibu kumtimua EPL ya sasa si ya zamani timu zimejipanga na kwa mpira wetu I swear Arteta December ataiona chungu kuna Everton Southampton Spurs Chelsea Wolves π π nataka kucheka ila nalia katika Arteta December hatamaliza Trust me