Nilikwambia mechi za derby hua tofauti na matarajio ya wengi.Kipofu kaona mwezi basi tabu tupu.
Kiukweli kwa timu yetu kubeba league labda itokee tokee tu, kama asemavyo Sheikh KipozeoNyinyi mnaowaza kuhusu ubingwa wa ligi mnaiongelea ligi ipi? Hii ambayo aliyempiga liva saba yeye anaenda kukamuliwa na NC?
Timu yetu inaweza pambania trophies ila ni zile trophies za short term so FA, Carabao, Europa hizi zote tunaweza fightia. In fact naamini City kwenye carabao tutamtoa kamasi.
Ligi ni ishu nyingine. Ndiyo maana anayewaona wachezaji na kushinda nao kila siku kasema matarajio yaanzie miaka 3 mbele







Umenena vema mkuu,Kiukweli kwa timu yetu kubeba league labda itokee tokee tu, kama asemavyo Sheikh Kipozeo
Kubeba League inahitaji team yenye permanent structure na consistence, jambo ambalo kwa team iliyo kwenye 'work in progress' kama Arsenal ni mapema sana kulitarajia.
Hatuzuii fans kudream kwa kuwa dreams zinapush success, let the FANS dream for it is a good dream.
Kiukweli binafsi nikiri nilishamkatia tamaa Bellerin, hata niliposikia PSG wakimtaka niliona aende tu, kwa nini labda?Siku tunachukua FA kwa chelsea ilikua ni sprinting ya Bellerin ndiyo ikafikisha mpira kwa Pepe ambaye akampa Auba tukapata goli la 2.
Tunacheza na Dundalk, all hope is lost timu inashindwa kupenya, Bellerin anapata mpira anatambaa nao kule kulia anatoa assisst kwa Auba na Auba anascore.
Jana penati ilitokana na Bellerin kukimbilia pasi akiwa anaanza kuondoka paul akamkwanyua.
Nafikiri hatumuappreciate Bellerin ipasavyo.
The fact that he is given game time it is a matter of time before kila mtu kunotice.Kiukweli binafsi nikiri nilishamkatia tamaa Bellerin, hata niliposikia PSG wakimtaka niliona aende tu, kwa nini labda?
Bellerin was a very promising youngster when joined Arsenal, alinifanya nitarajie makubwa sana kwake. Labda hisia hizi pia ziliwakumba fans wengine juu yake. Injuries zilimuandama na kuathiri sana kiwango chake, na nilidhani hawezi rudi kwa ubora wake.
RVP, Wilshere na Ramsey pia walikumbwa na kadhia hii at some point of their career in an Arsenal shirt.
It's fair to say that, Bellerin has now become 'unsung hero' at Arsenal, he does a lot with little praise!!
😂😂😂😂😂😂
Rashid Makame anapelekwa wapi?



😂😂😂😂😂😂
Mmebahatisha😎😎😎😎Holding ni kiboko ya mane na bwana chid
Zile hat trick ni kwa sababu alikutana na wavimba macho, jana kakutana na wazee wa kazi hii ndo utajua wa epl😂😂😂😂😂
Yuko arrested na Rob Holding, anatakiwa akatoe maelezo ilikuwaje Makame akafunga ile hat trick kwa ubutu alio nao?
😂😂😂😂😂😂
Eti kapiga hat trick kwa wale farmers basi manyumbu wakawa wanatuletea mdomo, wacha tumpige tanganyika jeki!!Zile hat trick ni kwa sababu alikutana na wavimba macho, jana kakutana na wazee wa kazi hii ndo utajua wa epl![]()



Sidhani kama Auba kawa butu ila ukiangalia stats zetu utaona tunatengeneza nafasi chache sana na mfungaji tunaye mtegemea ni Auba pekee hivyo hata wapinzani haiwapi tabu kumkaba mtu mmoja. Bado timu yetu haina good balance kati ya midfield na attacking.Jana mliupiga mwingi sana ..ila Auba ni kama ashaanza kuwa butu vile.