computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Midfield yetu bado haipo vizuri katika squad hii creativity ina lack hapa ila football is football let's wait and see and hope we are going to get something
Sioni nani wa kuwalisha mpira wafungaji wetu naona tatizo litabaki pale pale
Arteta kashindwa kabisa hapo kati kupabalance Elneny and Partey (mhhh)
Sioni nani wa kuwalisha mpira wafungaji wetu naona tatizo litabaki pale pale
Arteta kashindwa kabisa hapo kati kupabalance Elneny and Partey (mhhh)