Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Fata moyo wako au dhamira yako inachokuambiaNdugu zangu, hapa napambana na mashetani ya nafsi. Najishauri nisiangalie game ya Arsenal hadi mkataba wa Ozil utakapoisha. Mpira ni mzuri ila ni burudani tu. Haki na utu ni muhimu zaidi. Changamoto hii kwangu.