Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wahuniii
IMG_20201021_163559.jpg
 
Hadi hapa tulipofika inaoneka hii inshu ya ozil mimi ndio naiju sana kuliko wote

Alafu swala la ozil, hautapata ukweli kwa kutegemea post za club au ozil mwenyewe

Ipo hivi
Ozil alipaza sauti juu ya China kwa kile walichokifanya (wengi najua mnajua)
China walikuja juu kwa hatua za mwanzo, katika kikos cha arsenal hawakumtangaza ozil

China wakazid kuja kwa kutoa statement kwamba ozil akicheza, tunafungia game zenu

Ngoma imerudi kwa arsenal akapima mizan, akaona hili jambo lishakua kubwa,
Kukosa huduma ya ozil uwanjan au kukosa mabilion ya fedha yanayotochina??
Ata ungekuwa wewe ungeenda kwenye mabilioni

Arsenal alitaka kulimaliza hili jambo vizuri, kwamba offer ikija ozil auzwee.
Lakin ozil anaona hapa kama hawa wapuuzi macho madogo watakua wameniweza, yan ujumbe wao mimi naondolewa kwenye timu niliokua naipenda,
Hapa ozil ndio anaweka tena mgomon na arsenal ndio kichwa kinauma sasa

Shida nyingine mzigo anaoupokea ozil pale arsenal sio wakitoto, so anaona its okey kukaa bench, wala hainipi shida

Ila kiukwel sio kwamba ozil pale arsenal namba anakosa, au ameisha. Huu ni uongo wa hali ya juu

Arsenal wanamtoa ozil kwa kikosi, ozil anaongea kwa huruma huruma (China effect bado inamuumiza mchiz ozil)

Je ozil ataendelea kukataa offer Hadi mkataba ukiisha?? Hili binafsi nahitaji kulishuhudia nione msimamo wa ozil au atakata moto njiani.
Kulipwa jambo moja, ila ku play on the pitch jaman kuna raha yake, kama uliwai kuwa footballer

Ozil swala lake lipo KIDINI, kuhusu kisiasa ni kwa kiwango kidogo sana

Kule China ukiachana na ukristu na uislam. Dini yao kubwa tena kubwa sana n budha. Kwaio waislam wameingia anga za watu, China hawezi kurud nyuma kwenye hili ata jua liichomozea kaskazini

Muslims player wapo kimya kama hawatumii smartphone au vyombo vya habari. Samahan kwa kusema hivi, katika hili waislam wenyewe ndio wanafki.
Arsenal ni football club sio chama cha siasa au kikundi cha dini.
Arsenal yupo sahihi kwa maamuzi ya maslai ya club, wote wenye akili timamu tunaunga mkono club

Kitendo cha players wengine wa kiislam kukaa kimya binafsi kimeniuzunisha sana, lazima niwataje
Frank Ribery
Paul pogba
Sadio mane
Mohammed salah
Yaya toure
Karim benzema

Ozil atabaki kuwa shujaa on his own world, wanafki waendelee kukaa kimya

Arsenal wapo sahihi

Ozil yupo sahihi

China wapo sahihi

Na maamuzi yaliofikiwa yapo sahihi
 
Holding out for around three weeks with his hamstring problem, Willian (calf) and Ceballos (ankle) will miss tomorrow night. Mustafi back and available for selection. Mari aiming to be back full training within 10 days.
 
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ameamua kufunguka na kutoa lawama kwa klabu yake baada ya kutojumuishwa kwenye kikosi kinachoshiriki Premier League pamoja na Europa League kwa msimu huu.

"Huu ni ujumbe mgumu kuandika kwa mashabiki wa Arsenal tena kwenye klabu ambayo nimeitumikia kwa miaka kadhaa iliyopita"

"Nimehuzunishwa sana na kitendo cha klabu kwa kutonijumuisha katika kikosi cha wachezaji wanaoshiriki Premier League na kombe la Europa League"

"Nimefurahishwa sana na mipango mipya ya maendeleo chini ya kocha Mikel Arteta hata ushiriki wangu nikiwa uwanjani ulikuwa kwenye kiwango cha juu lakini vitu vikabadilika tena na sasa hivi siruhusiwi tena kucheza Arsenal"

"Maamuzi haya waliyofanya viongozi wa Arsenal hayatoweza kunibadilisha kabisa akilini mwangu, nitaendelea kufanya mazoezi kwa bidii na kujituma na nitasema popote pale kwenye ulazima wa kutumia sauti yangu kwenye haki" - Amesema kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil.
.
 
Tukienda kwenye Carabao na City tunaenda kuwafunga. Itakua same kama Liva, second time Arsenal ataenda huku anashambulia.
 
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ameamua kufunguka na kutoa lawama kwa klabu yake baada ya kutojumuishwa kwenye kikosi kinachoshiriki Premier League pamoja na Europa League kwa msimu huu.

"Huu ni ujumbe mgumu kuandika kwa mashabiki wa Arsenal tena kwenye klabu ambayo nimeitumikia kwa miaka kadhaa iliyopita"

"Nimehuzunishwa sana na kitendo cha klabu kwa kutonijumuisha katika kikosi cha wachezaji wanaoshiriki Premier League na kombe la Europa League"

"Nimefurahishwa sana na mipango mipya ya maendeleo chini ya kocha Mikel Arteta hata ushiriki wangu nikiwa uwanjani ulikuwa kwenye kiwango cha juu lakini vitu vikabadilika tena na sasa hivi siruhusiwi tena kucheza Arsenal"

"Maamuzi haya waliyofanya viongozi wa Arsenal hayatoweza kunibadilisha kabisa akilini mwangu, nitaendelea kufanya mazoezi kwa bidii na kujituma na nitasema popote pale kwenye ulazima wa kutumia sauti yangu kwenye haki" - Amesema kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil.
.
Achana naye, yuko kama demu king`ang`anuzi huku hajuwi machejo..
Owners wako tayari kumeza bill, kweli atakunja mkwanja mrefu ila reputation yake itaingia dosari sana, kwa sasa arsenal hawana nafasi wala wachezaji wa kumsadia defensive duties zake, tokana style na tactics za gaffer arterta.
Ozil angesepa tu, sasa yeye kashupalia kurushana roho na board mtandaoni?!. Labda aje bongo aimbe taarab basi..
Silly and ill advised..what a plonker..
 
Arteta being very frank on Ozil here. Insists he has not been left out due to any issue relating to the pay cut. Says he takes full responsibility for winning matches and it is a football decision.
 
Arteta anafanya press Muda huu kuelekea Mechi ya kesho ,atazungumza mengi

More updates zinakuja

On Zoom call with Arteta. On Ozil: “My conscious is very calm because I have been very fair with him. I have to try and look everybody in the eye and be comfortable with it. I have this feeling with Mesut.”
 
*SIASA YA CHINA ILIYOZIMA NDOTO ZA MESUT OZIL KATIKA SOKA LA KIMATAIFA*

*Ukizungumzia* China Chini ya *Rais Xhi JINPING* Ni Moja Kati ya Taifa Lenye Idadi Kubwa ya *Watu na Taifa Lenye Uchumi Mkubwa Duniani* Moja ya *Doa la Taifa Hili la China* Ni Mauaji ya *Jamii ya Kiislamu ya Uyghurs* Moja ya Makabila Makubwa Sana Yenye *Idadi ya Watu Zaidi ya Milion 10 Nchini China Katika Jimbo la XIANJIN* Kabila linalopatikana Katika *Kaskazini Magharibi mwa Nchi ya China* Mpakani Kabisa Mwa Nchi za *Turjikistan*

*Tatizo la Mgogoro Huu Lilianza Kwa Post ya Mesut Ozil ya December 13 Mwaka 2019 Kupitia Katika Mitandao ya Kijamii ya Instagram,Twitter,Webo China na Facebook .....Kwa Kijana Huyu Mwenye Umri wa Miaka 32 Mzaliwa Gelsenkrchen,Ruhr Region Nchini German* Kuishutumu Nchi ya *China Kwa Mauaji Dhidi ya Jamii ya Uyghurs,Kufunga Misikiti,Kubambikiwa Kesi na Utesaji wa Mara kwa Mara wa Raia Hawa*

Baada ya Kauli Hii *Shirika la Utangazaji la China* Lilikatisha Matangazo ya Mechi Kati ya *Arsenal vs Manchester City* iliyofanyika Jumapili ya December 15 na Club ya Arsenal ikatoa Taarifa Rasmi Kuwa *Kauli ya Ozil Ni Kauli yake Binafsi na KLABU ya Arsenal Haiusiki na Matamshi ya Mesut Ozil* na Pia *Serikali ya China Kupitia Kwa Msemaji wa WIZARA ya Mambo ya Nje Bwana Jheng SHENG* alitoa Taarifa Kuwa Aliyotamka Mesut Ozil Ni Uzushi na Hakuna Kitu Kama Hicho Katika Serikali ya China na *Akamualika Ozil Afike Kaskazini Magharibi mwa China Kuona Maisha Halisi ya Jamij Hii ya Uyghurs* ....Baada ya Kauli Hii *Mashirika Kama Amnest international na Serikali ya Marekani* iliikashfu China Kwa Kukiuka Haki za Binadamu na Kwenda Mbali Zaidi *Shirika la Hali za Binadamu la Amnest International* likachapisha Jarida Dogo kwa Ajili ya Kuelimisha Jamii na Duniani Kuhusu Maisha ya Jamii ya Uygurs na Kusapoti Kauli ya Mesut Ozil

*Mechi ya Mwisho ya Mashindano Mesut ozil Kuichezea Arsenal ilikuwa Dhidi ya West Ham Katika Dimba la Ashburton Groove March 07 Mwaka 2020* na Mechi ya Mwisho ya Kirafiki ilikuwa Corona Season June 10 Mwaka 2020 .......

*Msumari wa Mwisho kwa Ozil Kwenda Kwa KLABU ya Arsenal Ni Mahojiano yake Kati ya Jarida la Michezo la Athletic Kuishutumu KLABU ya Arsenal Kuweka Kipaumbele Kampeni ya Black Lives Matter Badala ya Kampeni ya Muslim Lives Matter Ambayo Kimsingi anaamini China Kuna Ukandamizaji Mkubwa Sana wa Haki Dhidi ya Jamii Hiyo ya Kiislamu*

Kutokana na Kadhia Hii ya Mgogoro wa China na Faida inayopata Ligi Kuu ya Uingereza Mkakataba wenye Thamani ya £700,000,000 wa Haki za Matangazo Mpaka Mwaka 2022 Ni Sababu Tosha ya Mesut Ozil Kuwekwa Kwenye Blacklist ya Kuvaa Jezi za Washika bunduki hao wa *Ashburton Groove*

Mbali na Misukosuko ya Kutochezeshwa Katika Mechi za Mashindano za *Arsenal* Lakini Mesut Hakusita Kupiga Kelele *Kufukuzwa kwa Jerry Quay;Gunnersaurus* ...Moja Kati ya Washehereshaji(Katuni) inayofurahisha Mashabiki Katika Uwanja wa Ashburton Groove Lakini Vilevile Hakusita Kupiga Kelele Mauaji ya Raia wa Nigeria Dhidi ya Polisi wa Kikosi Maalum Cha Uhalifu Cha SARS

Lakini Vilevile Hakusita Kupiga Kelele Kubaguliwa na Wajerumani wakiongozwa na Rais wa *Deutscher Football Association (DFB) Bwana Reinhard Grindel* na Washirika wake na Kujiondoa Rasmi Katika *Timu ya Taifa Mnamo wa Julay 22 Mwaka 2018*

Mbali na Kutocheza Katika Mechi Yoyote ya *Arsenal FC* Mesut ozil Ni Mchezaji wa *Pili wa Arsenal Kulipwa Mshahara Mkubwa Kiasi Cha £350,000 kwa wiki Zaidi ya Tsh Billion 1 Kwa Wiki Akiwa Nyuma ya Pierre Emerick AUBAMEYANG Ambaye anamzidi Ozil kwa Bonus* Ingawa Mshahara wako Sawa na Pia Ni *Mchezaji wa 4 Anayelipwa Vzuri katika Ligi Kuu ya England Nyuma ya Gareth Bale £600,000 Kwa Wiki.....David De Gea anayelipwa £375,000 Kwa Wiki...Pierre Emerick AUBAMEYANG £350,000 kwa Wiki na Mesut Ozil £350,000 Kwa Wiki*

*Mesut Ozil* Amecheza *Mechi 600,Magoli 108, Assist 216,Red Card 3,Yellow Card 43 Katika Ngazi ya KLABU Akiwa na Vilabu vya Schalke 04,Werder Bremen,Real Madrid na Arsenal .....Huku Kwa Klabu ya Arsenal tu Akifunga Magoli 44,Assist 77 Katika Mechi 254 na Katika Level ya Timu ya Taifa ya Ujerumani Amecheza Mechi 92,Amefunga Magoli 23 na Assist 40*

*Good Bye Mesut...Ya OzilM10....Once a Gunner, always GUNNERS*

IMG_20201016_164543_027.jpg
images%20(2).jpg
 
Sijui kama watu hapa watakuelewa maana eti kuna watu wanaona Arsenal ingekubali kula hasara kwa mechi zake kutoonyeshwa china ili kumsuport Ozil. Kimsingi madai ya Ozil kwa China ni sahihi lakini sisi kama club hatuna ubavu wa kushindana na mbabe china..
Hadi hapa tulipofika inaoneka hii inshu ya ozil mimi ndio naiju sana kuliko wote

Alafu swala la ozil, hautapata ukweli kwa kutegemea post za club au ozil mwenyewe

Ipo hivi
Ozil alipaza sauti juu ya China kwa kile walichokifanya (wengi najua mnajua)
China walikuja juu kwa hatua za mwanzo, katika kikos cha arsenal hawakumtangaza ozil

China wakazid kuja kwa kutoa statement kwamba ozil akicheza, tunafungia game zenu

Ngoma imerudi kwa arsenal akapima mizan, akaona hili jambo lishakua kubwa,
Kukosa huduma ya ozil uwanjan au kukosa mabilion ya fedha yanayotochina??
Ata ungekuwa wewe ungeenda kwenye mabilioni

Arsenal alitaka kulimaliza hili jambo vizuri, kwamba offer ikija ozil auzwee.
Lakin ozil anaona hapa kama hawa wapuuzi macho madogo watakua wameniweza, yan ujumbe wao mimi naondolewa kwenye timu niliokua naipenda,
Hapa ozil ndio anaweka tena mgomon na arsenal ndio kichwa kinauma sasa

Shida nyingine mzigo anaoupokea ozil pale arsenal sio wakitoto, so anaona its okey kukaa bench, wala hainipi shida

Ila kiukwel sio kwamba ozil pale arsenal namba anakosa, au ameisha. Huu ni uongo wa hali ya juu

Arsenal wanamtoa ozil kwa kikosi, ozil anaongea kwa huruma huruma (China effect bado inamuumiza mchiz ozil)

Je ozil ataendelea kukataa offer Hadi mkataba ukiisha?? Hili binafsi nahitaji kulishuhudia nione msimamo wa ozil au atakata moto njiani.
Kulipwa jambo moja, ila ku play on the pitch jaman kuna raha yake, kama uliwai kuwa footballer

Ozil swala lake lipo KIDINI, kuhusu kisiasa ni kwa kiwango kidogo sana

Kule China ukiachana na ukristu na uislam. Dini yao kubwa tena kubwa sana n budha. Kwaio waislam wameingia anga za watu, China hawezi kurud nyuma kwenye hili ata jua liichomozea kaskazini

Muslims player wapo kimya kama hawatumii smartphone au vyombo vya habari. Samahan kwa kusema hivi, katika hili waislam wenyewe ndio wanafki.
Arsenal ni football club sio chama cha siasa au kikundi cha dini.
Arsenal yupo sahihi kwa maamuzi ya maslai ya club, wote wenye akili timamu tunaunga mkono club

Kitendo cha players wengine wa kiislam kukaa kimya binafsi kimeniuzunisha sana, lazima niwataje
Frank Ribery
Paul pogba
Sadio mane
Mohammed salah
Yaya toure
Karim benzema

Ozil atabaki kuwa shujaa on his own world, wanafki waendelee kukaa kimya

Arsenal wapo sahihi

Ozil yupo sahihi

China wapo sahihi

Na maamuzi yaliofikiwa yapo sahihi
 
Arteta akiongelea kutemwa kwa Ozil

"Hakuna uhusiano wowote na kugoma kukatwa mshahara, sio kweli. Ni maamuzi yangu, kama kuna mtu wa kulaumiwa ni mimi. Na itatokea tukifungwa, ni majukumu yangu. Natakiwa kufanya maamuzi kupata kikosi kizuri kabisa ili kushinda mechi na mashindano."

Arteta akiongelea barua ya wazi ya Ozil: "Kila mtu ana uhuru wa kueleza hisia zake. Ninacho weza kusema yale ni maamuzi ya kimpira."

"Sina tatizo nae kwa sababu nimekua mwema sana kwake. Kiwango cha mawasiliano yangu kwake ni cha juu kabisa na tunajua tu kipi tunatarajia kati yetu "

#coyg
 
*SIASA YA CHINA ILIYOZIMA NDOTO ZA MESUT OZIL KATIKA SOKA LA KIMATAIFA*

*Ukizungumzia* China Chini ya *Rais Xhi JINPING* Ni Moja Kati ya Taifa Lenye Idadi Kubwa ya *Watu na Taifa Lenye Uchumi Mkubwa Duniani* Moja ya *Doa la Taifa Hili la China* Ni Mauaji ya *Jamii ya Kiislamu ya Uyghurs* Moja ya Makabila Makubwa Sana Yenye *Idadi ya Watu Zaidi ya Milion 10 Nchini China Katika Jimbo la XIANJIN* Kabila linalopatikana Katika *Kaskazini Magharibi mwa Nchi ya China* Mpakani Kabisa Mwa Nchi za *Turjikistan*

*Tatizo la Mgogoro Huu Lilianza Kwa Post ya Mesut Ozil ya December 13 Mwaka 2019 Kupitia Katika Mitandao ya Kijamii ya Instagram,Twitter,Webo China na Facebook .....Kwa Kijana Huyu Mwenye Umri wa Miaka 32 Mzaliwa Gelsenkrchen,Ruhr Region Nchini German* Kuishutumu Nchi ya *China Kwa Mauaji Dhidi ya Jamii ya Uyghurs,Kufunga Misikiti,Kubambikiwa Kesi na Utesaji wa Mara kwa Mara wa Raia Hawa*

Baada ya Kauli Hii *Shirika la Utangazaji la China* Lilikatisha Matangazo ya Mechi Kati ya *Arsenal vs Manchester City* iliyofanyika Jumapili ya December 15 na Club ya Arsenal ikatoa Taarifa Rasmi Kuwa *Kauli ya Ozil Ni Kauli yake Binafsi na KLABU ya Arsenal Haiusiki na Matamshi ya Mesut Ozil* na Pia *Serikali ya China Kupitia Kwa Msemaji wa WIZARA ya Mambo ya Nje Bwana Jheng SHENG* alitoa Taarifa Kuwa Aliyotamka Mesut Ozil Ni Uzushi na Hakuna Kitu Kama Hicho Katika Serikali ya China na *Akamualika Ozil Afike Kaskazini Magharibi mwa China Kuona Maisha Halisi ya Jamij Hii ya Uyghurs* ....Baada ya Kauli Hii *Mashirika Kama Amnest international na Serikali ya Marekani* iliikashfu China Kwa Kukiuka Haki za Binadamu na Kwenda Mbali Zaidi *Shirika la Hali za Binadamu la Amnest International* likachapisha Jarida Dogo kwa Ajili ya Kuelimisha Jamii na Duniani Kuhusu Maisha ya Jamii ya Uygurs na Kusapoti Kauli ya Mesut Ozil

*Mechi ya Mwisho ya Mashindano Mesut ozil Kuichezea Arsenal ilikuwa Dhidi ya West Ham Katika Dimba la Ashburton Groove March 07 Mwaka 2020* na Mechi ya Mwisho ya Kirafiki ilikuwa Corona Season June 10 Mwaka 2020 .......

*Msumari wa Mwisho kwa Ozil Kwenda Kwa KLABU ya Arsenal Ni Mahojiano yake Kati ya Jarida la Michezo la Athletic Kuishutumu KLABU ya Arsenal Kuweka Kipaumbele Kampeni ya Black Lives Matter Badala ya Kampeni ya Muslim Lives Matter Ambayo Kimsingi anaamini China Kuna Ukandamizaji Mkubwa Sana wa Haki Dhidi ya Jamii Hiyo ya Kiislamu*

Kutokana na Kadhia Hii ya Mgogoro wa China na Faida inayopata Ligi Kuu ya Uingereza Mkakataba wenye Thamani ya £700,000,000 wa Haki za Matangazo Mpaka Mwaka 2022 Ni Sababu Tosha ya Mesut Ozil Kuwekwa Kwenye Blacklist ya Kuvaa Jezi za Washika bunduki hao wa *Ashburton Groove*

Mbali na Misukosuko ya Kutochezeshwa Katika Mechi za Mashindano za *Arsenal* Lakini Mesut Hakusita Kupiga Kelele *Kufukuzwa kwa Jerry Quay;Gunnersaurus* ...Moja Kati ya Washehereshaji(Katuni) inayofurahisha Mashabiki Katika Uwanja wa Ashburton Groove Lakini Vilevile Hakusita Kupiga Kelele Mauaji ya Raia wa Nigeria Dhidi ya Polisi wa Kikosi Maalum Cha Uhalifu Cha SARS

Lakini Vilevile Hakusita Kupiga Kelele Kubaguliwa na Wajerumani wakiongozwa na Rais wa *Deutscher Football Association (DFB) Bwana Reinhard Grindel* na Washirika wake na Kujiondoa Rasmi Katika *Timu ya Taifa Mnamo wa Julay 22 Mwaka 2018*

Mbali na Kutocheza Katika Mechi Yoyote ya *Arsenal FC* Mesut ozil Ni Mchezaji wa *Pili wa Arsenal Kulipwa Mshahara Mkubwa Kiasi Cha £350,000 kwa wiki Zaidi ya Tsh Billion 1 Kwa Wiki Akiwa Nyuma ya Pierre Emerick AUBAMEYANG Ambaye anamzidi Ozil kwa Bonus* Ingawa Mshahara wako Sawa na Pia Ni *Mchezaji wa 4 Anayelipwa Vzuri katika Ligi Kuu ya England Nyuma ya Gareth Bale £600,000 Kwa Wiki.....David De Gea anayelipwa £375,000 Kwa Wiki...Pierre Emerick AUBAMEYANG £350,000 kwa Wiki na Mesut Ozil £350,000 Kwa Wiki*

*Mesut Ozil* Amecheza *Mechi 600,Magoli 108, Assist 216,Red Card 3,Yellow Card 43 Katika Ngazi ya KLABU Akiwa na Vilabu vya Schalke 04,Werder Bremen,Real Madrid na Arsenal .....Huku Kwa Klabu ya Arsenal tu Akifunga Magoli 44,Assist 77 Katika Mechi 254 na Katika Level ya Timu ya Taifa ya Ujerumani Amecheza Mechi 92,Amefunga Magoli 23 na Assist 40*

*Good Bye Mesut...Ya OzilM10....Once a Gunner, always GUNNERS*

View attachment 1607662View attachment 1607668

Pamoja na kwamba hajajumuishwa katika kikosi kwa ligi kuu bado kadai atapambana arudishwe kwa kuendelea kufanya mazoezi kwa bidii! Pesa tamu bwanaa hapa Arteta anavizia tu mkataba wake umalizike ampotezee jumla!
 
Ndugu zangu, hapa napambana na mashetani ya nafsi. Najishauri nisiangalie game ya Arsenal hadi mkataba wa Ozil utakapoisha. Mpira ni mzuri ila ni burudani tu. Haki na utu ni muhimu zaidi. Changamoto hii kwangu.
 
Back
Top Bottom