Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Mkuu, kenge sio tusi bhana!
Kenge ni aina ya mijusi tu.
Huyo ndugu yako ana akili kama mjusi, ndio maana nikamtafutia aina ya mjusi anae fanana nae, nikaona ni kenge tu.
Nasikia Alhamisi munacheza na katapila fc kutoka Sudan ya kusini, hivi ni kweli?

Hahaha matusi ya nini mkuu? Mambo mengine unayaachia yapite![]()