Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
So unachukuliaje alivyomchezesha becker huku ni majeruhi? Alizitaka points za ligi za kazi gani kama plan wasn't to race for the title?
Aisee hadi Bukayo Saka ameachwa?Kikos cha wachezaji 25 EPLView attachment 1606664View attachment 1606665
Hapa yupo list BAisee hadi Bukayo Saka ameachwa?
Mods tendeeni haki kenge hii.Mkishinda siingii jf mwezi mzima.
Najipiga ban..
Halafu nayahifadhi maneno yako, nitarudi game ikiisha.
Rapid Wien.
Kariri jina na nyinyi mnakuja huku
Hapo yapo majina 23, itakuwa jina la saka lipo ila aliyepiga picha hiyo list ndie hakuwa makini kalikata jina la 24 na 25Aisee hadi Bukayo Saka ameachwa?
Hongereni, hakika kipofu kauona mwezi.Ivi kweli nyie Upupu fc, bado mume lala?
Nakataa.
Mumeona wanaume jana tume ua (na hatuendi jela) mumeona bola mufunge nyumba yenu mukimbie sio!?
Rudini kabla sija tia kibiriti hiki kibanda chenu.
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Manchester United
Hapo sawa, maana huyu ni muhimu sana.Hapo yapo majina 23, itakuwa jina la saka lipo ila aliyepiga picha hiyo list ndie hakuwa makini kalikata jina la 24 na 25
Hapo sawa, maana huyu ni muhimu sana.Hapo yapo majina 23, itakuwa jina la saka lipo ila aliyepiga picha hiyo list ndie hakuwa makini kalikata jina la 24 na 25
Mods tendeeni haki kenge hii.
Wanaume tushaua huko, na jeila haendi mtu.
Hahaha matusi ya nini mkuu? Mambo mengine unayaachia yapite 😀😀Mods tendeeni haki kenge hii.
Wanaume tushaua huko, na jeila haendi mtu.
Underdog manyumbu
Hongereni, hakika kipofu kauona mwezi.
Hongereni Man Utd. Naona PSG wamewashindwa ila sio mbaya. Sisi tutawasaidia.