Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kutotakiwa kumtumia Ozil. Na timu kutokua na AM mwingine naamini diyo ilipelekea Emery ampe sana namba Willock na Smith Rowe.
 
Smith bado Sana,may be awe anapewa game time za kutosha hususani kwenye carabao na FA ila Yule dogo hafit kabisa kua mchezaji tegemezi.
Kwahiyo tufanyeje? Auba amepiga mashuti 6 tu tangu msimu umeanza. Salah kapiga 25, Calvert Lewin 20 na Kane kapiga 19.

Auba asaidiweje?
 
Kwahiyo tufanyeje? Auba amepiga mashuti 6 tu tangu msimu umeanza. Salah kapiga 25, Calvert Lewin 20 na Kane kapiga 19.

Auba asaidiweje?
Kuhusu auba ni swala muda tu mzee,

Kumbuka Yule ni striker so anapiga mashoot na kuscore kutokana na nafasi anazotengenezewa,

Je mpaka sasaiv ametengezewa chances ngapi? Na ngapi kashindwa ku convert into goals?.
 
Only jembe aliyebakia na mwenye uchungu na kutubeba kwa this season siku akiumia hata mwezi fans tutaongea lugha tofautiView attachment 1605171
Moja ya silaha zetu kubwa hapo baadae,napenda sana the way anavyokua confident katika mechi kubwa na akipewa majukumu makubwa pia,

Willock na Reiss Nelson Wana Mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa bwana mdogo.
 
Kuhusu auba ni swala muda tu mzee,

Kumbuka Yule ni striker so anapiga mashoot na kuscore kutokana na nafasi anazotengenezewa,

Je mpaka sasaiv ametengezewa chances ngapi? Na ngapi kashindwa ku convert into goals?.
Ndiyo maana nimesema tunamsaidiaje. Au niseme hizo chances atatengenezewaje
 
Only jembe aliyebakia na mwenye uchungu na kutubeba kwa this season siku akiumia hata mwezi fans tutaongea lugha tofautiView attachment 1605171
Huyu dogo anauwezo mkubwa sana.. Anaficha mipira vizuri, halafu akiamua kukaa na mpira kuuchukua ni ngumu.

Hapa ndio naamini kwanini Arteta alifurahi sana baada ya kumpa mkataba mpya, japo watu hawakuichkulia serious kivile.
 
Ndiyo maana nimesema tunamsaidiaje. Au niseme hizo chances atatengenezewaje
Auba ni mzuri zaidi akitokea pembeni sio katikati.
Yani Auba, lacazette/nketia, pepe/willian ndo iwe formation ya kushambulia.
 
Ndiyo maana nimesema tunamsaidiaje. Au niseme hizo chances atatengenezewaje
Arteta alianza kwanza kuitengeneza defense ya timu na amefanikiwa pa kubwa,

Auba ataanza ku score Kama zamani ikiwa attacking area itafanyiwa marekebisho,

Kaka yangu Castr transformation ya timu nzima inahitaji muda kidogo.
 
Auba ni mzuri zaidi akitokea pembeni sio katikati.
Yani Auba, lacazette/nketia, pepe/willian ndo iwe formation ya kushambulia.
Hii formation ya kushambulia hata mimi naiona ndiyo inayotakiwa.

Kuhusu kutokea pembeni sina cha kukomenti.

Ila sasa kwakua tumekosa AM formation gani itamfavour Auba zaidi ya 4 2 3 1.
 
Arteta alianza kwanza kuitengeneza defense ya timu na amefanikiwa pa kubwa,

Auba ataanza ku score Kama zamani ikiwa attacking area itafanyiwa marekebisho,

Kaka yangu Castr transformation ya timu nzima inahitaji muda kidogo.
True defense yetu iko vyema. Naungana na wewe hapo kwenye kutakiwa marekebisho ya attacking.

Tony Adams kasuggest backline iwe na mabeki 4.

Kwa ninavyojua formation ikiwa na watu 4 automatically itabidi uweke formation ya kuattack. Yaweza kua Adams ndicho anachoshauri kinyemela?

Transition takes time hili lipo wazi.
 
Kuhusu defense, timu yetu imeimprove sana.

Kuna wakati naangalia mpira kipindi cha pili sina presha kabisa, nilijua kabisa hawa Man City hawatoweza kupata goli lingine.

Hata lile goli moja lilikuwa ni sababu ndogo tu ya poor marking na kwa kuwa ulikuwa mpira uliokufa, la sivyo wangepata tabu sana kupata goli.

Na yule kocha wa set pieces katusaidia sana, timu ishaelewa inazuia vipi corner na free kicks..

I can see the way they arrange themselves and how they defend those set pieces.. Amazing!
Kuna muda naangalia mpira ilikuwa City wakipata corner namwambia jamaa niliekaa nae pembeni:

"Hakuna goli hapo!"

Na huu ni ujumbe kwa wapinzani wangu wote kwenye PL, wasisubiri magoli kutoka kwenye set pieces wakicheza dhidi ya Arsenal.. Na hata wakifanikiwa kuscore, watapata goli 1, wakipata la 2 ni bahati!

COYG
 
Mikel akifanya hivi atakuwa amemaliza kazi
LINEUP111603187204873.jpg
 
Chelsea wamepoteza point kwa West Brom, Liver na Southampton.

United wamepoteza point kwa Palace na Tottenham.

Tottenham wamepoteza point kwa Everton na Newcastle.

Liverpool kapoteza point kwa Everton na Villa.

Man City kapoteza point kwa Leicester na Leeds.

Arsenal kapoteza point kwa Liva na City.

Kawaambie wenzio
Acha utoto wewe, kufungwa ni kufungwa tu, aijalishi umefungwa na nani.

Cha msingi umepoteza point 6, full stop.
 
Acha utoto wewe, kufungwa ni kufungwa tu, aijalishi umefungwa na nani.

Cha msingi umepoteza point 6, full stop.
Hahaha naona umekasirika.

Anyway, Maguire kajaribu kukwepa lawama kwa kujichelewesha ili asicheze ila FIFA wamesema watamsubiri afike.
 
NI USHAURI SIO OMBI.
Kwa kua Arsenal8 hampo UCL, tunawashaurini muishabikie Manchester United leo pale itakapo kua inaiadhibu PSG nyumbani kwake.
 
NI USHAURI SIO OMBI.
Kwa kua Arsenal8 hampo UCL, tunawashaurini muishabikie Manchester United leo pale itakapo kua inaiadhibu PSG nyumbani kwake.
Kama kweli wewe mwenyewe unaamini Man U inashinda nenda kabet kwa kuweka elfu moja tu kisha post hapa ili tuone kama una imani kubwa kiasi hicho au ni plastic fan.
 
Back
Top Bottom