Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NI USHAURI SIO OMBI.
Kwa kua Arsenal8 hampo UCL, tunawashaurini muishabikie Manchester United leo pale itakapo kua inaiadhibu PSG nyumbani kwake.
Hahaha eti Man U anagewa points 6 za kushinda dhidi ya PSG. Underdog la karne hili.
 
Kubet mambo ya watoto hayo.
Kuna mdogo wako mwaka jana alikula pesa ya ada, sasa hivi nimeamua kumnunulia kirikuu ajiuguze.
Kama kweli wewe mwenyewe unaamini Man U inashinda nenda kabet kwa kuweka elfu moja tu kisha post hapa ili tuone kama una imani kubwa kiasi hicho au ni plastic fan.
 
Kubet mambo ya watoto hayo.
Kuna mdogo wako mwaka jana alikula pesa ya ada, sasa hivi nimeamua kumnunulia kirikuu ajiuguze.
Hahaha mpe pole alijiona shehe Yahaya

Anyway, hata hivyo sioni kama mna chansi ya kutoboa. Ripoti zinasema ataanza Tuanzebe na Lindelof sijawahi kuiona hii partnership ikicheza ila naamini haijazoeana.

Langoni De Gea, mbovu mipira ya mbali. Neymar na Mbape ni experts wa dead balls, Di Maria ni mzuri wa kucut in na kushoot.

Advantage ambayo man u mnaenda nayo ni morali kutokana na ushindi dhidi ya New Castle na wachezaji 7 majeruhi wa psg ambao hawawezi kuanza leo.

Kilichobaki ni maajabu ya mpira tuyasubiri. Ila mnakufa.
 
Stay tuned@22:00Hrs EAT.
manchesterunitedfaithful_20201020_155737_0.jpg
 
Ndio maana nimeona nikae kimya ,ila kwa anayejua hii timu Arteta alipoikuta na alipoifikisha ,

Na anakoipeleka hakika huwez kubeza, nashangaa kuna watu wanabeza had usajiri wa Partey ,

Nimemsikikiza Arteta Jana , Leno ,ceballos hakika utaona timu ipo kwenye njia salama

Pep mwenyewe Jana dk za mwisho anaweka mabeki wazuie ,
Tusubiri mechi 38..Watatuelewa tu..
In Arteta we trust..
 
Hahaha mpe pole alijiona shehe Yahaya

Anyway, hata hivyo sioni kama mna chansi ya kutoboa. Ripoti zinasema ataanza Tuanzebe na Lindelof sijawahi kuiona hii partnership ikicheza ila naamini haijazoeana.

Langoni De Gea, mbovu mipira ya mbali. Neymar na Mbape ni experts wa dead balls, Di Maria ni mzuri wa kucut in na kushoot.

Advantage ambayo man u mnaenda nayo ni morali kutokana na ushindi dhidi ya New Castle na wachezaji 7 majeruhi wa psg ambao hawawezi kuanza leo.

Kilichobaki ni maajabu ya mpira tuyasubiri. Ila mnakufa.
Wakipona sana 4-0
 
Hao wachezaji 7 majeruhi wa PSG ni nani na nani?
 
Ndugu zangu wa Arsenal, msione kama tumewatenga kujadili na nyie mambo ya kimichezo wiki hii, tuko kwenye jukumu la UEFA.

Tutarudi tukimaliza hili jukumu.
IG nzima fans wa liva wanalalamika virgil kua nje.

Klopp akasema liva na mashabiki watamsubiri kama mke mwema anavyomsubiri mumewe.

Now ndiyo tutajua squad depth ya liva inafika mpaka wapi.
 
Back
Top Bottom