Timu ipo vizuri kabisa, sema kuna watu hapa hawaoni hilo, Liver katoka kupigwa bao za kutosha lakini huwezi kusema liverpool ni timu dhaifu.. Tuendelee kuipenda na kuishabikia timu yetuSina cha kuongeza, hakika tupo kwenye right way.... Yajayo yanafurahisha