Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu yetu tuna excuse too much wakati tuna squad bora yenye kuweza kupambana ila results ndio tatizo hata game tulizoshinda Emirates dhidi ya West Ham and Sheffield United nazo ilikuwa ni kubana pumbu mpaka filimbi ilie ndo unatabasamu
Hahaha nani alikua ananiambia Ceballos alicheza AM Madrid na akadai ndiye atafanya kazi ya Aouar. Dadeki watu sijui wanaangaliaje hii timu
 
Tony Adams kasema mabeki 3 wanakusaidia kwenye Cups. Siyo ideal kwaajili ya title race anaona kwa sasa Arsenal itabidi ianze kuweka mabeki 4.
 
Mpira dakika 90 mkuu
So unamaanisha kwamba ni sahihi tunavyostruggle? Magoli ya Tottenham yalifungwa easily, kila mmoja aliwajibika walikua wana mtu anawachezesha.

WHU kusuluhisha haiondoi ukweli tulistruggle.
 
So unamaanisha kwamba ni sahihi tunavyostruggle? Magoli ya Tottenham yalifungwa easily, kila mmoja aliwajibika walikua wana mtu anawachezesha.

WHU kusuluhisha haiondoi ukweli tulistruggle.
Usisahau huyu westham tulimpiga viwili.
Sisi tulichukua point 3 ila totte kachukua moja.
Sometimes point 3 ni zaidi ya kudominate mpira.
 
Tunaenda kukipiga Europa tarehe 22 na Rapid Wien, jina kama password ya wifi hotspot so inatakiwa iwe fight nyepesi.

Hata mimi akili ya kawaida inaniambia hivyo, ingawa wana takwimu nzuri lakini ligi ya Uingereza ni ya Uingereza tu. So tutashinda hamu yangu ni kuona tutashindaje.
 
West ham ilitusumbua ila ona Tottenham anavyojipigia. Ndani ya dakika 30 vyuma 3.

Watu bado wanasema Partey alikua sahihu over Aouar.
Unasema? Unamjua Lanzini? Mourinho leo atakuwa anamuota yeye tu,. Mjifunze kuwa wavumilivu
 
Back
Top Bottom