Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
acha ufala.Arse8 mliliwa kichwa mnatimu mbovu. Takataka nyie..
#CFC 💙💙💙
acha ufala.Arse8 mliliwa kichwa mnatimu mbovu. Takataka nyie..
#CFC 💙💙💙
Tena mtake radhi kabisa, ila hajui soka![]()
Kitobo haupo serious. Nguvu za kukaa kupiga perepeche unazitoa wapi wakati PSG ananoa makali?Kuna misimu 8 mbele, hii timu kuwa bingwa wa EPL.
Kitobo haupo serious. Nguvu za kukaa kupiga perepeche unazitoa wapi wakati PSG ananoa makali?
Katika uzi wenu nilisema msipoifunga Newcastle basi ladha ya ushindi ndiyo mmeshaachana nayo.PSG ni tawi letu.
Ngoja uje uone kitacho mkuta.
Nasikia nyinyi mupo kwenye lile kombe la Alhamisi?
Kinachowaponza ni yule mdhamini. Demand yake ya idadi ya magoli ndiyo imewafikisha hapo.
Nasikia Huawei 5G wanataka kuwadhamini.


Kwakweli kama Mtu mwenye kumbukumbu nzuri , hii timu ipo sasa kwenye njia nzuri ....Binafsi napendezwa na the way timu inavyo perform mpaka sasa,ukijaribu kufananisha magoli ambayo tuna concede kwa sasa na kipindi cha nyuma utaona kuna utofauti mkubwa sana,Kukweli beki zetu zimeimarika mno,
Juzi wakati tunafungwa na city Kuna baadhi ya mashabiki wenzangu walilalamika na the way timu ilivyo perform,ila kwa upande wangu nilikua positive na performance ya timu,
Kitu ambacho kilichonifanya niwe positive na ile performance ni baada ya kugundua mabadiliko makubwa ambayo timu umefanikiwa kuyafanya hususani katika idara ya defense na ushambuliaji,japokua 'conversation rate' yetu ya ku change chances kua magoli bado ipo low,
Game na city unai angekua bado kocha naamini tungefungwa more than 3 goals,
My fellow arsenal fans 'transformation' needs a time,ilimchukua Jürgen klopp miaka mitatu ndo akachukua ubingwa na miaka minne kwa Babu Fergie,
Tumpe muda jamaa,I hope atatufikisha mbali.
#Coyg
My brother Aaron ArsenalKwakweli kama Mtu mwenye kumbukumbu nzuri , hii timu ipo sasa kwenye njia nzuri ....
Sikuwa na expectations kubwa dhid ya city na Liverpool. Ila hawa wengine watatueleza
Kwasasa sisi ni ngumu kukosa point kwa hawa wengine ukitoa city na Liverpool ,
Wenger anasema
"Mikel Arteta does a good job, yes. The club has regained its values, but it is in the long term that we will see if the values will continue to be represented. Before, #Arsenal was respected because we gave young people a chance"
Hata mm nafurahishwa sana na mwenendo wa Timu , na kwakweli hata Wenger anasema Timu ipo mikono salamaMy brother Aaron Arsenal
Mimi binafsi napendezwa na timu inavyocheza na pia ninaona mwanga mbeleni,
Kitu cha msingi ni kushinda hizi mechi na timu ndogo na kuhakikisha game vs Utd,Everton na Leicester tunapata matokeo positive.
Hapa jukwaani kwa kweli kuna vituko! Yaani mtu analazimisha timu icheze kama anavyotaka.. Yaani hapa kuna watu wanajua kuliko Arteta.. Sasa hivi yule Bwana Milango mitatu amerudi tena kwa jina la mtu mwingine..Sisi tulishinda Vs WHU 2-1 nyumbani, spurs katoa suluhu 3-3 nyumbani. Sioni kwa nini tubeze timu yetu, nadhani tupo vizuri na direction sio mbaya.
Binafsi sijupenda lineup Vs mancity, lakini kochà anajua zaidi yetu so tuwe na akiba ya maneno.
West Ham mzee.Leicester kapoteza kwa Villa jana nimesahau na timu gani nyingine.
Sisi wadhaifu tumembonda na tukachukua alama 3,Actually nilimaanisha sisi ndiyo dhaifu.

Kama umeliona hilo tunashukuruKuna misimu 8 mbele, hii timu kuwa bingwa wa EPL.
Sina cha kuongeza, hakika tupo kwenye right way.... Yajayo yanafurahishaHata mm nafurahishwa sana na mwenendo wa Timu , na kwakweli hata Wenger anasema Timu ipo mikono salama
DullyJr anajua Jinsi emery alipoifikisha hii timu , lakini Kwa muda mfupi kazi aliyoifanya Arteta anahitaji kuungwa mkono
Tujiandae na Mechi ya Alhamis , klabu ipo na umoja ,
Kocha amesolve tatizo la defence , kwasasa anapambana kupata combination ya Attacking na kiungo kuwepo uwiano
Na Kama ni mfatiliaji mzuri utaona toka mech na Sheffield kipind cha pili had mech na city kuna mabadiliko makubwa ,
Kikichotokea mech ya City. ,Pep na yeye alikuja na Formation mpya maana Arteta alikuja na Willian kama false no.9 ili kuwa isolate CBs za City, ili Auba na Pepe wapate space , lakini Pep alishtukia. ...
Kiukweli nafurahishwa sana na Kocha anavyoijenga timu, sishangai kukosa point kwa waliotuzid ,ambao vikosi vyao vimekaa muda mrefu
Naiona kesho boraChelsea wamepoteza point kwa West Brom, Liver na Southampton.
United wamepoteza point kwa Palace na Tottenham.
Tottenham wamepoteza point kwa Everton na Newcastle.
Liverpool kapoteza point kwa Everton na Villa.
Man City kapoteza point kwa Leicester na Leeds.
Arsenal kapoteza point kwa Liva na City.
Kawaambie wenzio