Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana kabisa mkuu, napenda kuona FA Cup inakuwa timu nzuri kwenye round za mwisho, lakini hiyo hainifanyi kutotoa opinion zangu napoona kuna utata.

Naam Mkuu ndiyo uzuri wa jamvi hili where we dare to talk openly
 
Arsenal midfielder Cesc Fabregas on his side's hard-fought FA Cup fourth round win over Huddersfield: "I'm always ready to play. The first half was a little bit boring, but the second half was better and Huddersfield played some good football. We're happy we don't have to play an extra game because we're in four competitions." And on his appeals for Jamie McCombe to be sent off: "If it was a red card for the first one (Squillaci), then you have to give a red card for the other (McCombe). Some decisions you don't understand, only the referee. But we don't complain."
 
Naomba isomeke "kutotoa" badala ya "kutoa", nimeedit tayari unaweza kufanya hivyo kwenye quote. BTW, umeona hongera zangu tayari?

Done deal Mkuu. Nimeziona Mkuu Ahsante sana.
 
Punguza chuki mkuu, IT'S JUST A GAME.

Sure..Its just a game....But kuna matokeo ambayo wewe unataka yakupe furaha na inavyokuwa sivyo then huwa unakosa FURAHA...........thats the meaning I had when niliposema "NILICHUKIA"
 
Yaani ilikuwa ni narrow survival, nilikuwa nimekaa na madogo wa man u na ze bluz sikuwa na hamu hata ya kuchangia hapa!

POLE sana kaka.....But i guess u have s'thing to talk to them now!!!! Dont u????
 
Si umeona cover aliyokuwa anaizungumzia???? (SONG) ambaye ni mfupi kama tutapata 4wards opponents warefu....HATASAJILI.....hata kwenye Friday night live TOM WATT alilizungumzia sana hili la kusajili a new CB......ANYWAY am HAPPY that we r still in all 4 competition that all the BEST PL teams were suppose to be........

Song huwa ni mzuri sana CB tatizo ukimueka pale ku-cover, pengo lake midfield halizibiki.
 
Sure..Its just a game....But kuna matokeo ambayo wewe unataka yakupe furaha na inavyokuwa sivyo then huwa unakosa FURAHA...........thats the meaning I had when niliposema "NILICHUKIA"


Gotcha!
 
Song huwa ni mzuri sana CB tatizo ukimueka pale ku-cover pengo lake midfield halizibiki.

Thts the worry I have.....Jamaa akirudi Nyuma nani atacheza nafasi yake????? Koz DENILSON na DIABY ndo huwa wanacheza pale na wote ni wabovu.....
 
Kuna kipindi nilikata tamaa na hii mechi lakini toka Van persie apone na form ya Nasri,nimepata matumaini mapya.


Mungu atuepushe na majeruhi,amin.

Huyo mwenye RED kaumia Leo.....na bado hatujajua atakua nje kwa muda gani....ila atleast nafasi yake kuna wa kucheza dhough for now anaisaka form yake.....Disaster ni akiumia Djohan Djorou au KOS.................koz mi nashukuru lile Lifaransa SQI kulimwa Nyekundu......
 
Mnaongea sana hapa kha! Was it a dive, was it a penalty? Inategemea unaangalia kwa kutumia jicho gani Ila one thing two cup ties, arsenal kwenye semi dire situations, guess what wanapata penalty dakika za mwisho mwisho...hehe go figure!
Hongereni kwa kuadvance watani.
 
Kama Nasri atakua nje for two weeks then atarudi kwenye game ya Barca if its three weeks atarudi 22nd FEB kwenye game ya Stoke...what a MISS...........My fingers are tyt crossed 4 two weeks....

Tuesday, 1 February 2011
Barclays Premier League
Arsenal v Everton, 19:45
Saturday, 5 February 2011
Barclays Premier League
Newcastle v Arsenal, 15:00
Saturday, 12 February 2011
Barclays Premier League
Arsenal v Wolverhampton, 15:00
Wednesday, 16 February 2011
Uefa Champions League
Arsenal v Barcelona, R1, L1, 19:45
Tuesday, 22 February 2011
Barclays Premier League
Arsenal v Stoke, 19:45
 
FA Cup fifth round...


Fulham or Tottenham v Bolton or Wigan
Man Utd v Crawley
Everton or Chelsea v Reading
Leyton Orient v Arsenal
Birmingham City v Sheff Wed
Stoke City v Brighton
Notts County or Man City v Aston Villa
West Ham v Burnley
 
Hongereni watani..naona leo Almanusura watu wazima mshikwe ta*o.:clap2:
 
Mnaongea sana hapa kha! Was it a dive, was it a penalty? Inategemea unaangalia kwa kutumia jicho gani Ila one thing two cup ties, arsenal kwenye semi dire situations, guess what wanapata penalty dakika za mwisho mwisho...hehe go figure!
Hongereni kwa kuadvance watani.

Naona wanatumia jicho hili hapa chini .... ....... ..... ambalo limefanyiwa modification khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee


avatar16094_2.gif



Hongereni watani..naona leo Almanusura watu wazima mshikwe ta*o.:clap2:


Replay wanacheza lini?
 
Wenger sasa aende kusajili beki sasa hivi kama yuko serious .

No one is available. Wenger sidhani kama atanunua mchezaji kwa masaa yaliyobaki, umeona Chelsick wanajaribu kumnunua mchezaki kutoka loser fools? A second loser from them.
 
FA Cup Fifth Round - Feb 19-20

West Ham UnitedvBurnley ,Notts County or Manchester City vAston Villa,Stoke City vBrighton & Hove Albion ,Birmingham City vSheffield Wednesday,Leyton Orient vs ARSENAL, Everton or Chelsea vReading, Manchester UnitedvCrawley Town, Fulham or Tottenham Hotspur vBolton Wanderers or Wigan Athletic.
 
Back
Top Bottom